Recent content by 200000

  1. 2

    Kiwanja Kinahitajika Dodoma

    Above 4m ndiyo bei gani mkuu na ni sqm ngapi tafadhali, siyo wote tunaweza kufika Dodoma sasa hivi ila tuna uhitaji wa kiwanja
  2. 2

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Pia weka picha zaidi za ndani
  3. 2

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Kiwanja kina ukubwa gani mkuu?
  4. 2

    Msaada, waliowahi kuagiza magari Be forward

    Ingia kwenye website yao ambayo ni www.beforward.jp na email yao ya Beforward Tanzania ni tanzania@beforward.jp na ile ya Japan kwenyewe ni top@beforward.jp. Office zao zipo posta na ukiagiza gari kwa kawaida ni ndani ya mwezi mmoja unalipata wapo vizuri. Binafsi nimewahi kuagiza mara mbili na...
  5. 2

    Nyumba inauzwa

    Ukubwa wa eneo ni sgm ngapi
  6. 2

    Nahitaji kujifunza ujasiliamali.....

    Ndugu yangu kama una nia ya dhati, nenda veta utapata kila kitu kuhusu ujasiliamali (ni ushauri tu)
Back
Top Bottom