Mdau swissport wanatunza mizigo tu
Taratibu za malipo hufanywa na tra
1. Doc zote hutumwa tra long room kwa TANSIS SYS
2. Baada ya malipo kutoka utatakiwa kulipia ushuru kulingana na bei ulizo pewa
HAPO lzm ukubali kama kuna uplift kama hakuna basi utalipa kutokana na invoice yako
3. Agent...
Nakubaliana na mtoa post kuna faida gani kupita mbio tazara alafu ukifika relini unakutana na foleni ya mataa ya changombe
Pia sioni tija ya hizi traffic light za vingunguti jet airport na njiapanda ya Segerea
Zimekuwa sababu kubwa ya foleni zisizo na msingi
Ingejengwa njia 6 zingetosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.