Naamini hayati Edward Moringe Sokoine ni miongoni mwa wale ambao wameshakuwa wanasiasa mashuhuri Tanzania. Nimejaribu kutafuta speech zake za audio na video kwenye mitandao bila mafanikio. Sijui kwanini mamlaka husika hazijaweka speech zake kwenye mitandao. Kama kuna mtu anajua wapi naweza...
Waliangalia kwanza utaratibu uliotumika kumfungulia mashtaka na kama hiyo ingekuwa sahihi wangejadili makosa. nakumbuka nilishawahi kuhudhuria kesi mmoja, ofisa wa serikali alishtakiwa kuibia serikali. Alitakiwa kununua mabox mawili ya form yeye kanunua moja. Wakati wa mahujiano, wakili wa...
Ni kweli kwamba kuna wana CCM wengi wambao hajawafurahishwa na jinsi mwenyekiti ambaye ni Rais alivyosughulikia baadhi ya maswala hasa la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Jambo hili limedhibitisha double standards na hata Rais mwenyewe anajua. Ni vizuri pia ajue kwamba hatumpangii ila tunashangaa...
Kati ya wananchi wa Tanzania waliotumia vizuri uhuru wa kujieleza ni mwalimu Nyerere. Wakati Mwinyi akiwa madarakani Nyerere aliongea mambo mengi sana ambayo yangeweza kumkera sana; kama vile hatutaki Rais wa kushauriwa na mke wake, kama vile ukabila na udini vimeshamiri.
Wakati wa Mkapa...
Kuna haja kubwa sana CCM kusaidia nchi ya Tanzania. Itasaidia sana kutenga cheo cha urais na uenyekiti wa chama. Chama kilitakiwa kusimamia serikali. Katika hali hii mwenyekiti wa chama na viongozi wengine wangeshauri serikali, lakini sasa haiwezekani maana anayetakiwa kushauriwa ndiyo...
Ni kweli tunahitaji kulinda mipaka yetu na kulinda masoko yetu, lakini pia tunataka ujirani mwema. Tuchukue muda kufanya maamuzi ambayo yanaweza kuleta shida kwenye ujirani mwema. Kwa hali ya sasa Soko la Tanzania halitoshi, tunahitaji masoko ya nchi. Ni muhimu sana kwa Rais kututengenezea...
N
Nape mdogo wangu. Nzuri siyo chama bali ni watu. Watu wazuri na wapambanaji wapotolewa kwenye chama, chama hicho hakiweze kuendelea kuwa nzuri kama walipokuwapo hao watu wazuri na wapambanaji. Nafikiri umefanya sehemu yako. Keep low profile maana uliyoyafanya yamekujenga sana na yatakusaidia...
Zitto naungana na wewe. Nafikiri CUF ya Sheif waongee na ACT ili wahamie huko na nguvu itakuwa kubwa sana Bara na Visiwani. Chama siyo tija ila yale tunayoamini kisiasa ndiyo tija. Wakenya wanabadilisha majina ya vyama kila siku lakini watu ni wale wale. CUF wakifanya hivyo, tunapokwenda 2020...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.