1990_s_Generation
Member
- Mar 25, 2017
- 9
- 3
Naamini hayati Edward Moringe Sokoine ni miongoni mwa wale ambao wameshakuwa wanasiasa mashuhuri Tanzania. Nimejaribu kutafuta speech zake za audio na video kwenye mitandao bila mafanikio. Sijui kwanini mamlaka husika hazijaweka speech zake kwenye mitandao. Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata nitashukuru. Ninaomba mamlaka husika iweke kwenye mitandao ili watanzania tupate kujifunza kutoka kwake.