Kwa Tanzania hata wakuu wa vyombo vya usalama ni makada kindakindaki na wanamarupurupu ya kufa mtu, ili mradi mambo yao yanaenda hawawezi kamwe kutii amri yako
Ndugu kuna watu wameajiriwa kama washauri, lakini haizuii watumishi wengine kumshauri. Mf, mtumishi mdogo wa halmashauri anaweza kumshauri mkurugenzi namna ya kuboresha utendaji wa ofisi, hata waziri mkuu anaweza kushauriwa na sekretari. Kimsingi watumishi wa serikali wanafanyakazi Kwa niaba ya...
Hata bila kampeni Samia anashinda kwasababu tume ya uchaguzi ni waajiriwa wake, polisi, mahakama,magereza vyote vyake. Ushindi wake hautokani na ushawishi au mvuto kwa WaTanzania.
Tukiendelea kumchekea mzenji atatumaliza maana ana chuki binafsi na wabara. Mwenyezi Mungu tafadhali ingilia kati kuanzia majaji, mahakimu, ofisi ya DPP na kimama ikikupendeza wafutilie mbali maana wamekuwa maadui wa haki na wakandamizaji wa Taifa
Umesahau kimoja, analipwa mshahara wa u first lady asilimia 20 ya mshahara wa Rais aliepo madarakani mf; Rais analipwa 100milioni yeye anakula 20m jumlisha 18m ya ubunge
Mwenye nchi na vyote vilivyomo asumbuliwe na kisimbuzi? Hampo serious. Unapokokuwa Rais Kwa nchi za Africa Huwa ni fursa ya kuwa Trilionea. Hivyo Rais ni Tajiri na mjasiriamali mkubwa, viongozi na wafanyabiashara wote hujipendekeza kwake, na humpelekea mali pomoni, Rais hafikirii mambo madogo...
Madaraka Nyerere aache kiherehere, Watoto wa Marais wengine wamefanya na wanafanya mambo makubwa kupitia majina ya Baba zao, Yeye kazi yake ni kuzuia lisitumike jina la Baba ake. Kwa taarifa yake, Baba ako akiwa Rais anakuwa ni Baba wa wote. Pili Baba yake sio Rais tu bali Baba wa Taifa
Binafsi nakuelewa sana. Kwa nchi yetu kuanzia serikali, na Taasis mbalimbali zinaendeshwa kihuni, hakuna weledi, ni siasa, udini na kujuana, uwezo hauzingatiwi kabisa hivyo haiwezekani kupiga hatua hata siku moja. Hakuna kiongozi mzalendo Wala mwenye nia njema na nchi ni mwendo wa ubinafsi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.