Recent content by 1952

  1. 1

    Mafunzo kwa vitendo ya Walimu wa stashahada (BTP) yaota mbawa. Ufisadi ndio chanzo

    Safari hii muwakatae CCM ili mpate haki zenu kila mnapoomba.
  2. 1

    Anne Makinda is poised to grab CCM Presidential ticket but where is her hubby?

    If she manage to get a Presidential ticket for CCM, She will automatically be defeated by UKAWA candidate. She is actually not performing well as National assembly Speaker. It is high time for her to retire from politics.
  3. 1

    Ushauri: Nataka kuacha kazi lakini familia hainiungi mkono

    Usiache kazi ndugu yangu. Kazi yako ni security kubwa kwako na familia yako. Biashara huwezi jua leo ni safi na kesho ni mbaya.
  4. 1

    Padre Mbelgiji 'kiranja' wa tamko la Wakristo

    Kanisa Katoliki ndiyo BABA LAO. Sisi waumini wa Katoliki tuna umoja na hatuyumbishwi na mtu yeyote.
  5. 1

    Mnyika is the most brilliant lawmaker!

    He is very brilliant MP. The people of Ubungo Constituency should give him another term to be their Member of Parliament. I urge Hon. Mnyika to pursue LLB from any recognized University as to prove to the community that you are the best law maker. Bravo Hon. Mnyika.
  6. 1

    Trafiki wanapangiwa hesabu na wakubwa zao

    Mimi walinikamata kwenye mpaka wa Busega na Bunda na kuniambia nilipe faini ya Tshs.30,000 ya kutokuwa na stika. Nikakubali kwa sharti kuwa nikitoa fedha zangu lazima nipewe ERV ya Serikali. Kumbe huwa hawana ERV wanatumia makaratasi ya vitabu vya kuandikia makosa kama ERV eti utoe fedha. Mimi...
  7. 1

    Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

    Jana hata Mhe. Spika alimshangaa. Mhe. Spika alimweleza kuwa weka sentensi ya kisheria sawa kwa kumuuliza kuwa MTUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA ATALIPISHWA FAINI YA BILLIONI MOJA PAMOJA NA KIFUNGO CHA MAISHA je hiyo sentensi ni sawa?. Yeye akaanza kubabaika mpaka Mhe. Spika akaona aibu sana na kwa...
  8. 1

    Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

    Huyu nj janga la Taifa. Kwa kweli ni AIBU AIBU kubwa kuwa na AG wa namna hii. Nashauri uteuzi wake utenguliwe mara moja. Nani amewahi kumwona AG wa Kenya Prof. Muigai akijenga hoja zake za waendesha Mashtaka wa ICC juu ya kesi ya Mhe. Uhuru Kenyatta. Utaona alivyoiva kisheria lakini huyu wa...
  9. 1

    Floyd Mayweather atenga $4,000 kwa siku kwa ajili ya chakula

    Mayweather hamwezi PAC. Yule jamaa ni hatari. Ule mpambano wa Mayweather na Mmexico kama mlifuatilia vizuri Mmexico alimshinda kwa point. Mayweather kwa kweli alipendelewa. May 2, mtakubaliana nami.
  10. 1

    Floyd Mayweather atenga $4,000 kwa siku kwa ajili ya chakula

    Mimi ni mpenzi PICQUIAO na Mayweather atadundwa tu.
  11. 1

    Kiti cha Ubunge Rorya - Wananchi Jimbo la Rorya muwe makini

    Mimi bado sijatangaza nia. Safari hii mimi ndiyo Mbunge na nitatokea CHADEMA na kwetu ni Utegi.
  12. 1

    Barua ya wazi kwa afande mpinga kuhusu faini zinazotozwa na matrafiki barabarani

    Kwanza napenda kukusalimu kwa Jina la Bwana. Kumekuwa na tabia ya Maaskari wa Barabarani kutoza faini kwa makosa mbalimbali hasa za barabarani. Unapopatikana na kosa unajaziwa karatasi ya makosa na mtu kukiri kosa lake kwa kuweka saini kwenye hiyo karatasi. Baadaye unaambiwa kutoa Tshs.30,000...
  13. 1

    TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Safi sana Mhashamu Baba Skofu. Waambie ukweli. Mbona wenyewe wanatuambia tupige kura ya ndiyo HAKI hiyo wameipata wapi?.
  14. 1

    Mgao wa umeme Jijini Mwanza

    Napenda kutoa MASIKITIKO yangu makubwa kwa mgawo wa umeme Jijini Mwanza jinsi unavyokera na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Kwanza kama kuna mgawo wa umeme tunatakiwa kutangaziwa kwenye vyombo vya habari au kupitia magari ya matangazo. Hapa Mwanza maeneo ya Nyakato, Mwananchi sasa imekuwa...
  15. 1

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Mswada wa KADHI ukipita ndiyo mwisho wa CCM.
Back
Top Bottom