Recent content by 1884

  1. 1884

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumng'oa Mangungu Simba ni vigumu kama kuing'oa CCM madarakani

    Naomba kuuliza mambo mawili mkuu kwako? Majukumu ya Mangungu pale Simba ni yapi na je anayatimiza?
  2. 1884

    JamiiForums Tanzania Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    Arusha ipi? Njoo huku wanapojenga mji wa serikali Dodoma uje ujionee maajabu ya vumbi,tumepauka hatari Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  3. 1884

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

    1.Mwanza 2. Arusha 3. Pwani(Kibaha) 4. Manyara(Babati na Bashnet) Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  4. 1884

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    [emoji23][emoji23] Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  5. 1884

    JamiiForums Tanzania Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

    Shabiby ipo Dar -Babati Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  6. 1884

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    [emoji23][emoji23] Mbulu hatari sana milima ,mabonde na baridi kali
  7. 1884

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kuliona Bonde la Ufa uende wapi hasa kwa Tanzania?

    Kuelekea Karatu
  8. 1884

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Aya Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  9. 1884

    JamiiForums Tanzania Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

    Huku mji wa kiserikali upo muda wote Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  10. 1884

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Kama una akiba ya pesa kidogo nenda sabasaba upumzike hapo,kesho asubuhi panda gari za kwenda Chamwino afu ushuke mji wa kiserikali. Nenda kwenye site kuna kazi nyingi za kibarua pia kuna Kambi za kulala. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  11. 1884

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Blood Group 'O'

    Mimi sikuwahi kupima kujua grupu la damu,nikiwa mikoa yenye mbu mfano ukanda wa pwani nilikuwa nang'atwa na mbu hadi mchana. Majuzi kati nimepima grupu la damu ni O+ Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  12. 1884

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Hatari sana huko kwa wahadzabe Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  13. 1884

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Olduvai Gorge kule kwa Mary Leaky Kuna shida ya maji na vumbi la hatari Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  14. 1884

    JamiiForums Tanzania Tutaje Miji inayokua kwa kasi na sababu nyuma ya ukuaji wake

    Mto wa mbu pakijanja sana sema wengi hawapajui tu Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  15. 1884

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

    Kwa ukanda wa kaskazini Mbulu inaongoza
Back
Top Bottom