Nilifikiri ni mara ya kwanza. Lilikuwa goli zuri kwa kweli na reaction ilikuwa enjoyable. Ningekuwa na wasiwasi wa ushindi ningemind ila niliweza kuenjoy maana nilijua tutashinda tu. Yale yale ya Leicester City kutangulia na kufungwa.
Yes, ila kabla ya hapo nadhani tulikuwa tumeshinda mechi moja 1/4 kama sikosei, na moja tulidraw mbili tulifungwa. Hapo points 4/12
. Sikumbuki mara ya mwisho kushinda mechi 5 mfululizo. Hapa ndo maana nasema kushinda mechi imekuwa shida. Tutashinda moja, tutadraw inayoufuata...cycle continues...
Shida yetu siyo mechi ya Liverpool, hawa washakuwa kama shirika la misaada kutoa toa mapointi kwa kila anayehitaji naona nasisis watatuhurumia na kutupa point 3 muhimu kwa mioyo yao mema. Tatizo ni hatujaweza kushinda mechi kadhaa mfululizo, hata kwa timu 'ndogo'. Kwa sasa tunapaswa kushinda...
Ingawa nilijua tutashinda mechi, nilifurahi kuona wenzake Lamela wanavyomkimbilia wakishika vichwa kama hawaamini lile goli lilivyofungwa. Yaani ule mshangao na furaha yao kibinadamu nilifurahi kuona nikajisemea 'huu ndo mpira + burudani, bonge la goli' huku pia nikijisemea kuwa hawa Spurs...
Mimi nilimuona tu kama kijana anayejiamini na ameona anastahili kucheza mbele ya wanaochaguliwa. Siichukulii kama dhihaka. Mimi mwenyewe huwa naona kama Arteta anakosea mara nyingine kwenye uteuzi wa timu. Labda kosa kubwa la Saliba liwe kusema wakati yeye ni mchezaji ndani ya timu, tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.