Recent content by 13hadithi

  1. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha IAA kinawalazimisha waombaji wajiunge, hakuna option ya kuahirisha maombi, wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    apo umeongelea vyuo vitatu, IAA, UDOM UDSM kwa uzoefu tu wa hivi vyuo sio kawaida kusema wamekuchagua kozi usiyotaka, shida yenu mnaweka machaguo msiyoyataka ilimradi kujaza nafasi matokeo yake ndo hayaa, nakushauri fata tu Utaratibu
  2. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamshi. Charan Singh - Cherehani

    Koromije wazee wa Mwanza Misungwi
  3. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakukera sana ukiwa unasafiri kwa basi kwenda mkoani?

    Tukianza kuongelea usafiri wa umma wowote, huwezi kuepuka mgongano wa matamanio, mimi naweza taman mziki na ww ukataman movie au utulivu lakini huwez kupata vyote kwa wakati mmoja, Kwasababu ni umma dereva ataamua anaweka nn haijalishi ww unapenda au haupendi Mwisho kama haupendi usumbufu...
  4. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania I risk for benefits natafuta kazi kwa stake hii

    Mz Mzee mbna kama sjakuelewa iv....
  5. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania Wazoefu mnasemaje hapa?

    anaanza upya, ko atasubili mitatu tena
  6. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing

    Jina lake ni Festo au Brian...??
  7. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya RITA ifanye uchunguzi wa RITA Misungwi

    Siasa nyingi wale hawataki kutoa asa sijui wana shida gani...??
  8. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Nenda kabadilishe cheti cha kuzaliwa tu
  9. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya RITA ifanye uchunguzi wa RITA Misungwi

    Habari wana JF, Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni Tsh 30,000 wakati control namba ni Tsh 7,000 achana na hapo toka 3/5/2025 mpaka leo tar 1/6/2025...
  10. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania Usaili kwanjia ya online

    Umeelezea vizuri sana
  11. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania Kampuni nyingi wanawaunderate salespersons

    Wapo wengi
  12. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania Mtendaji mtaa MEO

    500k according to mama
Back
Top Bottom