Recent content by 1302-40

  1. 1

    Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

    Huu ndo msingi wa wanawake wengi kutunyima, eti usipofanya saiv au leo unapatwa na madhara gani.? Kiuhalisia madhara hayapo physically ila physiologically madhara ni makubwa sana. Ila kwa sababu madhara ya kisaikolojia hayaonekani kwa macho mnachukulia poa poa tu. Mwanamme bora umwambie tusile...
  2. 1

    Said Mwema, IGP wa viwango aliyewahi kuwepo tangu uhuru

    Kama kazungukwa na wanaonuka na bado tukaweza kumuona ananukia, inatosha sana. Anastahili pongezi.
  3. 1

    Said Mwema, IGP wa viwango aliyewahi kuwepo tangu uhuru

    IGP Sirro ni IGP wa mfano, msikilize akiwa anaongea na kutoa maagizo. He is competent kwenye kazi yake, haongei kwa majivuno, ukandamizaji au uonevu. Mara zote anakuwa akisisitiza weledi wa kazi kwa walio chini yake, kufanya kazi kwa kufuata sheria, kutoa haki bila uonevu wa aina yoyote. Na mara...
  4. 1

    Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni, anafanya biashara ya Mahindi

    Sawa kama unataka kukaza ubongo, kwanza umeangalia clip anayohojiwa.? Kwenye clip ametoa bei ya kuuza, bei ya kununua inategemea na ujazo sio fixed. Sasa hiyo sh 75,000 yako inatoka wapi. Kama unaamini anapata hasara sawa endelea na imani yako. Ila dunia hii haina mahali kuna biashara ya hasara...
  5. 1

    Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni, anafanya biashara ya Mahindi

    Huo ni mfano nimetolea Chief, then kama ni 140Kg. Hauoni hapo kuna extra 40kg ndo anapopatia faida, japokuwa faida sio kubwa sana ila anapata faida ndogo ila mzunguko unakuwa mkubwa. Mwisho wa siku jumla kuu ya faida inakuwa kubwa. Ila faida kwa kila gunia hata akipata tsh 2000 na kwa siku...
  6. 1

    Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni, anafanya biashara ya Mahindi

    Huyo jamaa ni mjanja sana, kwa maelezo yake yeye ananunua gunia kwa kuliangalia bila kulipima uzito wake ila yeye analiuza kwa kulipima uzito na kuuza gunia moja lenye uzito wa kilo mia. Ameshajua gunia analonunua lina uzito mkubwa zaidi kuliko analouza. Let's say amenunua gunia moja lenye...
  7. 1

    Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

    Kuna breed nyingi za broiler, ila breed nzuri ni Cobbs, Hubbard na Ross 308. Wasiliana nao direct watakupa response nzuri tuu. Wanajibu faster na wanakupa kile unachotaka na ukiwauliza maswali wanakujibu vizuri sana na kwa muda muafaka. Chek website zao chukua email wasiliana nao.
  8. 1

    Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

    Ila management yake pamoja na gharama ya kukuza mpaka kupata faida inabidi ujipange.
  9. 1

    Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

    Kwa kampuni ya kufanya biashara ipate faida kidogo ili isife, hilo yani inatakiwa kuliuza sio chini ya sh 500. Kwa tray ni kama sh1500
  10. 1

    Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

    Nikuombe radhi kwa kuhisi wewe ni tapeli, ila pia Inawezekana ulisikia vibaya au ni mayai yasiyo na ubora. Kwa sh 6000 ni bei sawa na mayai ya kawaida ya kula. Hapo kwa bei hiyo naona hakuna uhalisia kati ya bei hiyo na bidhaa yenyewe.
  11. 1

    Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

    Kuwa na parent stock ni gharama kubwa sana, inatakiwa uwe na mtaji mkubwa sio chini ya 20M ili kuwa nao.
  12. 1

    Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

    Kwa bei ya 6000 kwa tray ni uongo. Option iliyopo ni kuagiza nje tuu, South africa, Zimbabwe au Kenya ila kwa Kenya saiv hayapatikani pia. The best option ni kuagiza Southafrica, maana kule bei nafuu ila shida ni transportation ndo sina uhakika nayo ila mayai yapo.
  13. 1

    Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

    We jamaa acha uongo, labda kama unataka kutapeli watu.
  14. 1

    Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Very soon mayalla anaingia kwenye ignore list yangu, kashakuwa mp.uu.zi siku hizi. Kweli huwezi kuongea huku unakula na kama ukiongea basi lazima utasifia chakula unachokula.
  15. 1

    Je, hii dhana ya “Usawa wa Kijinsia” tumeielewa kweli?

    Mada nzuri kama hizi zinazohitaji kufikiri kwa kina, hekima na busara hazinaga wachangiaji. Na wakiwepo wachangiaji ghafla yanaanza matusi, kebehi na kashfa. Back to topic. Usawa wa kijinsia unatafsiriwa tofauti sana. Mila, desturi, mapokeo na maandiko matakatifu yanasiginwa kwa kitu kinaitwa...
Back
Top Bottom