Na wazanzibari kuingia bara eaingie na passport pia ,mbeleni huko wataishi juu ya maji wasipoacha huo ubinafsi ,waasisi wetu waliona mbali kufanya mungano huu ili Zanzibar ikijaa watu wapungue kuishi bara kama ilivyo sada
Tamatizo kubwa wale walibainika kataika ripoti hizi tangu uhuru wa nchi hii hakuna aleiwajibishwa ,sasa no heri waache tu wale Kodi zetu na mikopo mabilioni wanayokopa kwa wazugu sisi lala hoi tutaishi kwa neema za mwenyezi mungu
Kati ya mawaziri wanaopiga kazi jumma awesso ni no moja 💪💪💪💪Kuna wengine wanafki tu ,maji ni uhai na papu kununua serikali inashindwa wp shinda ni watu janjajanja nyingi
Kama kwetu apa Tanzania pesa zinakopwa alafu inaliwa na watu bila kujali maoni yangu fedha za serikali wabunge watunge sheria Kali ikiwemo mtu akidhibitika amekula fedha za umma anyongwe ata kuliko kutia nchi madeni kwa matumbo ya wachache
Hii tabia ya inakera kweli mimi nashauri wangefunga ata upande moja wa Barabara ili kupunguza foleni hizi Hali kama hii imezoeleka ,mtu anaeenda kutafuta riziki ya kula watoto anakaa daladala masaa 6 cjui jioni akirudi huyo kiongozi anaepita kama atamsaidia
Umeme kukatika ni hujuma tu kipindi cha magufuli mbn haukatiki kwan alikuwa anautoa chato??na 2025 cjui wanalipi kwa wananchi wanaokosa umeme kila Kona ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.