Mbona shetani wa stahili hii hayupo sasa hivi?
Shetani wa zamani alikuwa anafuata watu anazungumza nao ana kwa ana
Shetani alimfuata Eva bustani ya Edeni akamlaghai akala tunda.
Shetani huyohuyo alimfuata hadi Yesu Mungu wa watu kwa ajili ya kumjaribu .
Mbona shetani naye kama hachunguziki...
Kwa maana hiyo MUNGU ndiye aliyemuumbia mwanadamu tamaa na halafu tamaa hiyo hiyo ndiyo inakuwa mwanzo wa anguko la mwanadamu.
Hivi leo hii mhandisi akikabidhiwa daraja ajenge, akajenga baada muda fulani likabomoka,
Je, atakaelaumiwa atakuwa ni mhandisi au daraja lililobomoka?
Biblia yenyewe ililetwa ili MwAfrika atawaliwe bila mapepe yeyote ..
Sahivi unatumia kujitizamia wewe ni nani?
Hawezi kukusifia kwa namna yoyote.
Mzungu alichokifanya alitawala Afrika akatawala na fikra za Mwafrika.
Tumepata uhuru lakini kifikra bado wengi ni colonised
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.