Hii hoja ni muhimu Sana,
Huku ruvuma mpaka sasa hatujui hatma ya mahindi ni nn. Kumbuka tunalima na kuuza ili kupata pesa ya kununulia mbolea na madawa. Lkn mpaka sasa hakuna mnunuaji. Imagine bei ni Mia tatu huku mpitimbi,
Serikali ifanye Jambo. Wakulima tunaumia
Hakuna mahusiano Kati ya mwanadamu na majini.
Hayo ni mashetani yanawadanganya.
Muombeni Mungu awalinde na hao mnaowaita majini.
Maana naona mnawapa promo Wakati mnapotosha. Acheni kupotosha. Muombeni Mungu awape rehema na sio majini.
Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.