Recent content by 100byte

  1. 100byte

    Mrejesho: MwanaJF aliyeomba mtaji

    Huyo ni maskini wa akili kwa kiwango cha lami, umempa mtaji afu anaanza kukuwekea masharti ya kwamba hajui ni kwa nini umechelewa kwenda kumtembelea, kwa haraka gani aliyonayo mpaka anakukimbia donor wake , na hawa ndiyo wanaosababisha wenye matatizo ya kweli waashindwe kusaidiwa
  2. 100byte

    Jamaa ana moyo mugumu zaidi ya farao

    :D:D:D:D:D:D daaaah! kazi ipo mwaka huu maana kusoma namba tumeshamaliza mpaka za baiskeli,,
  3. 100byte

    Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    mimi pia nimejitahidi sana kutokuangalia hizi picha maana moyo unahamia mgongoni, ikija wasap yyt nikiona ina dalili ya kuwa na picha za wtt wetu wapendwa nazifuta haraka sana,,
  4. 100byte

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    In short, we are speechless..... ndoto za watoto wetu wapendwa zimezimika kama mshumaa uliowashwa katikati ya upepo mkali pole sana paka Jimmy ni Mungu pekee ndiye atakaeweza kukuvusha katika magumu haya,,
  5. 100byte

    TANZIA: MwanaJF Slim5 amefiwa na baba yake mzazi

    Pole sana mpendwa wetu Slim5, mbele yake nyuma yetu,,,,apumzike kwa amani.
  6. 100byte

    Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

    Angekuwa ni faru joni tungeshasikia matamko R.I.P mpendwa wetu.
  7. 100byte

    Katika hili la Wamachinga Mheshimiwa Rais utanisamehe sijazoea unafiki!

    Siwalaumu sana wakuu wa mikoa na wilaya kwa maamuzi wanayochukua, hii yote ni katika kuona kuwa wanamfurahisha mkuu ili kulinda vibarua vyao, kumbe wanaharibu maskini kazi imekuwa ngumu kuliko kipindi chochote
  8. 100byte

    Najiuliza, Dangote ni nani katika uchumi wa nchi hii?

    Mtoa mada napata mashaka kwamba unatumiwa vibaya na viwanda vingine vinavyozalisha cement.
  9. 100byte

    Kwanini katika hizi kazi sio rahisi kumkuta mzee?

    Njoo ofisini kwetu utawakuta
  10. 100byte

    PICHA: Zamani zamani kidogo katika picha

    Umenikumbusha mbali sana asee
  11. 100byte

    Mwanafaunzi mwingine Mbogamo sekondari Njombe amelazwa hospitali kwa kupigwa viboko na walimu sita

    Itafika wakati mwalimu na mwanafunzi watakuwa kama askari na mhalifu
  12. 100byte

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    "hao walimu ni washenzi kiwango cha lami" ki ukweli hapo unaweza kuta mnagawana majengo bila kupenda maana hiyo clip huangalii mara mbili asee
  13. 100byte

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Acha kusumbua watu,,, hata maandiko matakatifu yanatambua hilo, we sema hutaki kumwacha, subiri akutilie sumu ndipo utatia akili
Back
Top Bottom