Recent content by 1000 digits

  1. 1000 digits

    GE2025 Mgombea Urais AAFP: Serikali yangu haitoruhusu ushiriki wa Viongozi wa Dini kwenye Siasa

    Kuna tofauti kibwa sana kati ya kuchaganya dini na SIASA na Kuchanganya DINI na SERIKALI. Tunataka katiba mpya inayozuia watwala kuchanganya DINI na SERIKALI . Siasa na dini kama kuna katiba bora haina shida kabisa maana kazi ya dini ni kupigania haki za mwanadam muda wote bila dhulma kutawala...
  2. 1000 digits

    CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

    Tumwelewe Polepole. Hii nchi mifumo yake imetekwa na wahuni wachche sana ambao hawana uchungu na maisha ya wazawa hasa Watanganyika . Mfano hizi benki kama NMB na CRDB zinakuza mitaji yao kwa kunyonya wazawa halafu faida wanakula mafisadi wanaoficha pesa ndani na kutakatisha pesa kwa kununua...
  3. 1000 digits

    GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Hii Lucasi hawezi kuiona kwa sababu Biblia inasema kwamba rushwa hupofusha macho
  4. 1000 digits

    Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Sio kweli . JPM alijenga sana nchi kitaasisi . Na kimiundo mbinu . Hivi unaona magari yanayonunuliwa huko Halmashauri na idara Nyingine yalivyo ya kifahari na ya bei kubwa . Hilo nalo kweli ni jambo la kutumia darubini kuona kuwa linamaliza fedha za maendeleo . Masoko yalijengwa vizuri ili...
  5. 1000 digits

    GE2025 Mahakama, ACT na CCM wanaenda kujisafisha kitaifa na kimataifa

    Zito ni kama Mbowe yeye hataki kugimbea urais anataka ubunge yaani anamtanguliza Mtu mwingine halafu yeye anapiga hela za ubunge . Sasa mpina anagombea urais ili iweje maana hawezi kupata kura hata laki tano . Mpina alitakiwa akae kimya tu ndani ya CCM maana alikua anamsifia sana Mama ...
  6. 1000 digits

    Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Vita ya wenyewe kwa wenyewe hua inasababishwa na watawala kukubali kununuliwa na mafisadi yasiyojali maslahi ya nchi. KONGO aliyesababisha vita ni Mabutu na jeshi lake kuwaua wote waliojali maslahi ya umma. Tanzania hakuna uwezekano wa kuuana bila serikali kuhusika . Mfano . Leo hii Kule...
  7. 1000 digits

    Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

    Ukristo ni ufalme wa Mungu duniani . Uislama ni dini na mila na desturi za waarabu. Ndio maana hata wakimkuta mrusto amevaa hijabu wanakasirika wakidhani wanadhibakiwa . Mkristo ukiwaambia asalam aleiku wanakasirika . Ukiingia msikitini wanakasirika ,ukishika Korani wanakasirika,ukiwaonyesha...
  8. 1000 digits

    Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Nyerere huwezi kumlinganisha na makuwadi wa mabeberu . Nyerere huwezi kumlinganisha na wahuni . Nyerere huwezi kumlinganisha na watu waliotengeneza mitandao ya kuua watu ,kununua wapiga kura , kuuza rasilimali za nchi kwa mabeberu na kutumia dini kama ngao kwa kutoa rushwa misikitini na...
  9. 1000 digits

    Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    Hakuna mwanajeshwi anayeshika bunduki na kuua raia . Haijawahi kutokea katika nchi za kidemokrasia . Siku ukiona nchi yoyote wanajeshi wanaua raia basi nchi hiyo inagawanyika vipande vipande na haitatawalika tena . Lakini polisi wanapotumiwa na watawala dhalimu kuua raia basi siku zote jeshi...
  10. 1000 digits

    GE2025 Kama Uchaguzi ukiwa fair fair Zitto Kabwe hatoboi dhidi ya Baba Levo Kigoma.Labda Serikali imbebe kwa kuzuga No reform kwamba upinzani nao wameshinda

    Hivi kweli zito kabwe mnafiki na fisadi wa kiwango cha PHD anawezaje kumshinda Baba Level . NI Bora wananchi wote wa vyma vyote wahakikishe Baba levo anashinda kuliko Zito. Hakuna mtu mbaya duniani kama mnafiki.Unafiki nimbaya sana hata mbele za Mwenyezi Mungu. Ni bora CCM halisi kuliko CCM B...
  11. 1000 digits

    Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    JESHI NI HILI HILI . UNADHANI KWA MFANO MWEZI WA KUMI PAKAITUSHWA MAANDAMANO MAKUBWA YAKWA YANAONGOZWA NA VIONGOZI WA DINI WANAOODHALILISHWA NA WAUMINI WAO KUPOTEZWA HUKU RASILIMALI ZA UMMA ZIKWA ZINAPORWA .Unategemea jeshi la wananchi wanaweza wakawapiga Maaskofu kwa sababu ya kulinda mafisadi...
  12. 1000 digits

    Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Majizi yamashsuri majizi wenzaoo Pesa za magaidi zinawasumbua sana hawa mashekhe. Project ya ugaidi ni kubwa sana maana kule mashariki ya kati wanapigwa sana na wazayuni . Sasa wanaamua kukimbilia Afrika mashariki .
  13. 1000 digits

    Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

    Haya mambo humu duniani yapo kama maigizo fulani . Msingi wa vita zote ni kati ya wema na ubaya. Wema utashinda Ubaya . Waarabu wakiwa wamoja ni hatari kwa uhai wa binasamu wa dini nyungine kuliko mabomu ya nyukilia . R
  14. 1000 digits

    Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    Jeshi hua ndicho chombo kinachoinusuru nchi isiingie kwenye machafuko ya kisiasa ,kijamii na hata kiuchumi. Vita vya kikabila ,kidini na kisiasa hua zinasababishwa na serikali kupitia vyombo vya dola. Mafano : Kongo wakati wa mabutu Jeshi lilikua na nafasi nzuri ya kumtoa Mabutu na kunusuru...
Back
Top Bottom