Hajapoteza muda. kumbuka aliingia kwenye kilimo baada ya kuona changamoto kwenye kupata ajira, baada ya kumaliza chuo.. So alivyo kuwa chuo, hiyo changamoto ya ajira, hakuipata, ndio maana hakuingia kwenye kilimo, akawa bado yupo shule..
Je, vipi angepata ajira aliyo kuwa ana dream , ...
Wakuu habari....
.
Kuuliza sio ujinga... Nataka ku apply hizi nafasi za ajira katika jeshi la zima moto.
Ila sijaelewa, kwenye kipengele, cha jinsi ya kutuma haya maombi, ili yaweze kufika sehem husika,
Naomba mnipe, uzoefu kwenye hichi kipengele
hii nchi ya kisenge, nina plan ya kuondoka kwenye hii nchi... Viongozi wapo kwa ajili ya kujaza matumbo yao, na ndugu zao, unafki mwingi, wananchi tunazugwa tu, na vimiradi vya michongo.. No human right, no democracy,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.