Recent content by 0786811445

  1. 0

    JamiiForums Tanzania CCM mpo nyuma ya mchezo huu? Mwaitambua hatari iliyopo??

    Mchezo mnaoucheza ccm simzuli hilojini mnalolitoa kwenyechupa litawatafuna mpaka watotowenu.... Kamanyie wakubwa mtakimbia vibalaka wenu watatafunwa tu nahilojini jiu ndoo ukweli
  2. 0

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    Kwann serikali inaweka mkono wake Ndani yamahakamahiyo na je waupande wapili nawao wakiunda mahaka Yao ..mahakama zaserikali zitahukum wakinani
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    Minahisi huunimkakati wauongozi uliopo madalakani kunawatu waliahidi kuleta mahakama yakazi nasasa wanakalibia kusitafu lazima watimize walicho kiahidi kwa walio waahidi
  4. 0

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aanza maandalizi ya kuaga

    Hakuna hatua Alichukua wezi wapesa za escroow wanalulabata wamehamishwa vitengo wanakamatwa dagaa nyangumi wanabakia wakina andru chenge nk
  5. 0

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Mathias Chikawe

    Naskitikasana kuona viongoziwa juu kama mawazili wanakuwa waoongo hivi hikichama kimechoka kutawala. Bs tuachieni tz yetu kwasababu tz bila ccm inawezekana..zile files yakuwa tz bila ccm haiwezekani zilisha pitwa nawakati nawaliokuwa wanaamini hizo fikra walisha kufa
  6. 0

    JamiiForums Tanzania CCM yapora eneo la Soko la Tabata Muslim na kujenga Ofisi yao

    Kweli nawambieni ccm wamesahau kuwaviongozi wanchi na wamekuwa panya road
  7. 0

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    Ccm inafinya haki zawanainchi .iposku mtakutana nanguvu yauma
  8. 0

    JamiiForums Tanzania kwa wale ambao hamuendi au hamjawai kwenda viwanja wa leaders club mnamiss sana mitikisiko

    Daaa kweli tulioko mbali tuna miss
Back
Top Bottom