Recent content by 0784551284

  1. 0784551284

    Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    mbona siwaelewi? Aliyeripoti sms ya mwanzo alisema yanayojiri bungeni ni kuwa PM aliyesomwa kutoka bahasha ya rais ni Kasim Majaliwa, halafu wana jf nao wanaleta pm wao, inakuwaje sasa? Au kurasa hizi za jf ni za upotoshaji tu na si chanzo sahihi cha habari? Tusikurupuke jambo hili ni nyeti...
  2. 0784551284

    Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    Hebu wanasheria tufafanulieni vifungu vinavyohusiana na hoja hiyo hapo juu, ili nasi tufahamu nani mzalendo kati yetu na mwanasheria mkuu wa serikali!
  3. 0784551284

    Wasimamizi Mitihani ya Taifa Kilwa hatujalipwa fedha zetu

    hata sisi hatujalipwa hadi sasa tunapoendelea kusimamia mtihani wa kidato cha pili 2015. semina nayo hakuna kitu tulichoambiwa zaidi ya kuambiwa tuwe na subira.
  4. 0784551284

    Ushauri wa ndoa ndoano

    weka kitu ndani acha woga!
  5. 0784551284

    Nilimsomesha mpenzi wangu na leo kaniacha kwenye mataa!

    Umezaliwa jana wewe? hujawahi kuona kwa wenzako waliosomesha wapenzi wao kabla yako walivyoteseka? kama hukujifunza basi jifunze kwako! fikiri kabla ya kutenda ikibidi pata ushauri kwa wenzako. pole sana.
  6. 0784551284

    Motor cycle:Boxer for sale 1.6m

    Umeinunua lini? Imeshatembea km ngapi mpaka sa sa?
  7. 0784551284

    Sifa za mwanamke makini hasa ndani ya ndoa

    hakika umenikuna sana katika hili. ndoa nyingi zinasambaratika kwa kukosa haya. wanawake kwa mabinti hebu jifunzeni maana hata siku hizi kitchen part zimekuwa za viswahili vya pwani na misemo ya taarabu isiyojenga bali kubomoa ndoa zaidi.
  8. 0784551284

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    hivi naye JPM yupo humu jf aipate hiyooo!? inapendeza sana akichabo japo kwa sekunde kadhaa humu jf ili kuona mawazo nyeti na adimu ya watz.
  9. 0784551284

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    hata kama lowasa angeenda ACT bado mngesema na kuchonga tu. Tunahitaji maendeleo na si chama chochote cha siasa, kwani vyama vimefanya nini tangu uhuru? je maendeleo tuliyonayo nafanana na umri wetu (>50) tangu uhuru? tutazame utendaji wa mtu bila kujali chama chake.
  10. 0784551284

    Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Wanawake hawana dogo wala asante kwa anachofanyiwa na mwanaume. akisha mvuna watoto au mali anakutema jenezani ili yeye aponde maisha peke yake. Afrika wanaume wengi wauawa na wake/hawala zao.
  11. 0784551284

    Kaka ameniachia mtego mkali sana, baada ya yeye kufariki

    mdogo wangu ngono ipo sehemu yoyote uendako ila ni hapo ulipo tu! jamii inayokuzunguka hawatawaelewa kwa kitendo mnachokifanya. watawatenga na kukudharau hasa wewe. KUMBUKA: UTU ni zaidi ya NGONO. Endelea kumsaidia kijamii ili kukuza utu wako, Mungu atakubariki na utafurahia maisha na mwenzi...
Back
Top Bottom