Mm ninao wanne , watatu ni halali kabisa ila wanne mama yake mwaka jana kaniambia tukapime DNA maana wakati anabeba mimba alichanganya wanaume namm nikiwemo kwenye ule mchanganyiko kwahiyo nina safar mwezi wa tatu tukapime
Wewe oa weka ndani mpambane wote maisha menyewe ndo hayahaya, yaan unataka upambane mwenyewe jua lako mvua yako then uoe kamwanamke kaje kula tu mwishowe kanajaa tamaa kanakuua ili ukaachie mali,
Mimi nimeoa 2022 nilikuwa sina kitu chochote, tukawa tunashinda shambani wote huko, tumelima sana...
Swali kumradhi; simba ya msimu uliopita ilishika namba tatu nbc lakn iliishia robo final kunako caf champion, bingwa wa nbc naye vivyohivyo aliishia robo je mpaka hapo hujaona harufu ya kuhujumiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.