Leo ni wiki ya tatu sasa imeanza hakuna pesa wamelipa kibarua watu wanalalamika hakuna msaada wananyanyasa sana watu hawa SUMAJKT, lakini la kushangaza haya yote yanayoendelea nani ananufaika na hizi pesa za vibarua maana manyanyaso yamezidi tunaomba mtupazie sauti tunanyanyasika sana.
Kuna hili la kuwa kutakuwa na watumishi watakaoamia DP WORLD na watakaobaki TPA. Je kama wafanyakazi wa TPA wote watagoma kwenda DP WORLD nini kitatokea kama DP WORLD akiajir watumishi wapya hawa waliobak TPA watakuwa watumishi hewa au watafanya kazi gani nyingine?
Kilasiku dharau leo pia wamesema wanatoa pesa tumetoka makwetu kwenda kuchukua pesa zetu tangu mchana alf saa kumi ndo wanasema akuna pesa kumamaeee yan
Hii suma iliyopo bandari ya tanga ifanyiwe uchunguzi imejaa utapel,dhuruma na utensaji wa ovyo usioeleweka kwa mfano wanachelewesha malipo wanalipa pesa siku watakayo wao alf pesa za PSSSF azipelekwi inavyotakiwa yan kwa kifupi hali ni mbaya sana kwa wafanyakazi wa kutwa wa bandari ya tanga.
Swali gani hili mkataba na kuingiziana pesa tofauti na unayolipwa na kucheleweshewa pesa vinakujaje kwan inatakiwa asilimia ngap ndo ikatwe ili kupelekwa PSSSF ni 10%na mwajiri 10% sasa habar za mkataba sjui nini ndo vinasababisha mtu alipwe laki nne alf PSSSF wasema wanakulipa laki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.