JMK ROYAL SERVICES
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 226
- 83
1. Versatile ni gauge28,upana 110cm ni 13000/meterBei vipi mbona sizioni, ningeomba uniwekee bei kwa bati za hapo chini, niambie tu namb 1 ni......, nitaelewa. Pia naomba nikuulize km huto jali?, hivi nyumba yenye ukubwa wa 45ft 36ft unaweza tumia bati gapi aina km hiyo hapo chini?.
1.
2.
3.
Asante sana.1. Versatile ni gauge28,upana 110cm ni 13000/meter
2.it5=migongo mipana 11500/mete upana wa 107cm na 98cm,na upana wa 87cn ni 10500/meter,hizo ni gauge28
Na kwa gauge30 ni 9500/meter upna wa 87cm
Iki kupata vipimo halisi mpk fundi apime juu ingawa kutumia hvy ulivyonipa huwa wanweza kukadilia kwa kutumia kingpost
Hii design vipi ?1. Versatile ni gauge28,upana 110cm ni 13000/meter