Sabufa mziki mnene kwa bei poa

Sabufa mziki mnene kwa bei poa

edgar william clemence

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
233
Reaction score
218
Sabufa ya maana mziki mnene, kama unapenda mziki mnene chukua huu. Ni 450,000 tu. Tupigie 0658 18 47 97 tukuletee BURE kwa Dar na mkoani tunatuma bure

Ina sehem ya memory card
Sehemu ya flash
AUX input
Warranty miaka 2
Ni mpyaaaaaaaaaaa

Kwa wateja wa mkoani unaweza ukamtumia hela ndugu yako aliepo huku aje aichukue na akutumie ww au njia ya pili ni utume hela ya bidhaa tukutumie sisi.
IMG_20190921_105116_795.jpeg
IMG_20190921_105052_741.jpeg
 
Ukija kununua au ukiletewa ikiwa tofaut na unavyoiona hapo usilipie. Ww una hela mimi nna sabufa. Huwezi nilipa kama hujalizika nayo boss. Na mimi nmesema nafanya delivery free imagine unakaa bunju halafu nakuletea kitu tofaut ukakataa nani anakula hasara si mimi? So sibahatishi boss
Kwanini umeweka picha za kudownload?

Weka ya sasa hivi sabufa si upo nayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom