Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031. Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari nahitaji flat tv inch 24 NA kuendelea iliyotumia aina yeyote hela niliyokuwa nayo ni 170000 nipo moro town mwenyenayo anicheki 0715992666 whatsapp au nipigie
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Kwa wale wazoefu, nataka kujua bei ya mihogo niuzaje shambani, shamba lipo kibaha, nililima mwezi wa 3 mwaka jana, ile mbegu ya kukaa muda mrefu shambani (ndope). Ni mikubwa na mitamu. Lakini...
0 Reactions
41 Replies
26K Views
Hayaaa dagaa hao wa Mwanza wamekaangwa vizuri kwa viungo ili kukupa radha ya kueleweka kabisaaa[emoji108][emoji108][emoji108].Ni watamu sana na pia hawana mchanga wala uchungu.Na hakika ukiwaonja...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Sumtech Company Limited Tuna bidhaa zenye uwezo wa kulinda,kutoa taarifa kuhusu gari lako,kwa kupitia simu yako mteja anaweza kuona, -Speed -Sehemu ya gari yako ilipo -kuzima au kuwasha gari...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyumba ipo Mbezi Jangwani Beach Ndani ya eneo kuna nyumba 2. Ukubwa wa kiwanja ni 3500 sqm Bei 350m Panafaa kujenga ukumbi, hotel, bar nk. Maongezi zaidi 0756060183
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji sabuni ya eternal aloe vera Kwa aliepo Dodoma anaeuza anicheki 0757898117 / 0716601979
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pet's Vaccination Card Price: 2,000Tsh | Available Mifugo Tz ina madaktari(Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama. Tunatoa huduma mbali mbali za mifugo kama: a) #Chanjo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari inauzwa Tsh 4.5m Gari iko kwenye hali nzr kabisa na haina tatzo lolote. Maongezi zaidi 0756060183
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujua kwa anayefahamu bei ya kitambaa cha car shade pekee yake pamoja na labor ya kushona kwa car shade ya mita 5 kwa mita 5. Asanteni 0625 536 529
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari... nimehama mbeya, nimeacha kitanda na godoro 4*6 nimetumia mwezi mmoja(20days)... bei 150k fixed... karibuni..kama utahitaji kukiona tiwasiliane 0742900511
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Nauza simu yenye maelezo 1. Aina ya Simu: Samsung A30 2. RAM 4GB 3. Internal Memory 64GB 4. Line 2 5. Battery 4000amH 6. Imetumika mwezi mmoja na siku kama 8 7. Rangi nyeusi, haina mpasuko wala...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Nauza simu Original ya iPhone 6 GB 128 Bei yake Tsh 600,000 tu Rangi ya sliver Ina cover la gumu sana la kuzuia kuvunjika kioo hata maji kuingia ndani, water proof na impact proof kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo jioni nilikuwa na rafiki mmoja, alikuwa analalamika atatamani kujifunza programming lakini kiingereza kinachotumika kwenye vitabu na Youtube video kinamchangaya haelewi. Ameniomba nimfundishe...
9 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari Kwa wale wapenda simu, niko na Tecno 11 pro Ni mpya na nzima ina kila kitu Bei ni 300,000 Unakagua mpaka una ridhika kisha ndiyo unaichukua. Serious buyer njoo inbox. Details Price...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
HDD 700GB RAM 8GB PROCESSOR: Intel (R) Core (TM) i7-4800MQ CPU @ 2.70Ghz (8 CPUs), ~2.70 GHz Price: 850K Location: Dodoma DM for details.
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Camera Nikon 3200 + battery + Charger + lense ya 18-55mm Inauzwa bei cheap Tsh 600,000 Tu. Haina Tatizo lolote imetumiwa miezi 8 Inashoot Full HD video na picha Tupo Mbezi beach , Dar Mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza iphone 6 yangu, 64GB. Ni nzima haina tatizo wala mchubuko. Battery health ni 89%. Niko Dsm Tegeta - 0714-796778, iwahi mapema.
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Model: Toyota Harrier Lexus Year: 2005 Engine CC: 2362 Full AC Mileage: 110,200Km Location: Dar es salaam Price: 21M (Maongezi yapo) Piga/WhatsApp :0719972458 Gari imetunzwa vizuri kama inavoonekana
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…