Tecno Camon 11 Pro for sale

MR LINKO

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,034
3,485
Habari
Kwa wale wapenda simu, niko na Tecno 11 pro
Ni mpya na nzima ina kila kitu
Bei ni 300,000
Unakagua mpaka una ridhika kisha ndiyo unaichukua.

Serious buyer njoo inbox.
images%20(16).jpeg
images%20(15).jpeg
IMG_20191101_080048_0.jpegDetails

Price negotiable

Condition NewBrand

TecnoMobile phone

modelCF8

Screen Size6.2 Inches

RAM6 GBStorage

Capacity64 GB

Description

Model CF7
Network LTE
Display 6.2 inches
Memory 64GB ,6GB ram
Android 8.1 oreo
Camera 16MP + 5MP, front 24MP
Battery 3750mA(typ)
1year plus 1 month warranty
 
Kama unataka kununua inbox ipoo. Bei tajwaa ni mwanzo tu
Hapana isipokua nimemaanisha ya kua unaiuza Camon 11 pro kwa bei kubwa wakati successor wake ambaye ni Camon 12 na 12 Pro bei ni chini mno ya bei unayouza hii Camon 11 Pro. Almost Laki nzima.
 
Kwani camon 12 pro bei gani mkuu.
 
Kwani camon 12 pro bei gani mkuu.
Mwanzo uliandika unaiuza camon 11 pro yakokwa 450,000 baada ya komenti yangu umeandika 400,000 ila nataka ujue kua bado kwa hiyo bei umeizidi Camon12 na 12 Pro.
 
Tafutaaa beii ya camon 12 pro nileetee hapa.

Na nenda kaangalieee 11 pro lete hapa.

Bei nilio toa dukani iko hapo kwenye risitiii

Ukipata camon 12 pro kwa bei ya chini niambie au nielekezeee nika nunuee.

Hope najua utakuwa huijuu hizi camon 11 pro vizuriii
 
Phantom 9 yenyewe sio bei rahisi.

Hii sio zile W3 mkuu kabla ya 12 pro jua 11 pro ndo alikuwa baba wa tecno zoteee
 
Yaani kama ulinunua kwa pesa hiyo ni kipindi zinatoka. Wazia kwamba baada ya zenyewe imetoka Samsung A 10 ambayo ikauzwa kwa pesa haizidi laki 3, Samsung J4+ kwa 350K.

Infinix smart 3 kwa pesa isiyozidi 300K. Na Infinix hot 8 inauzwa bei isiyozidi 280.

Camon 12 bei haizidi 370 12 Pro haizidi 400.
Wiki moja baada ya Camon 11 kutoka bei ikadrop vibaya mpaka kua 270, kwahiyo hata kama kweli ulinunua hivyo jua bei zilishuka na safari hii successor wake katoka akiwa ana bei chini ya uliyonunulia wewe.

Sasa kama upo tayari tuma hela nikuletee hiyo camon 12 Pro.
 
Phantom 9 yenyewe sio bei rahisi.

Hii sio zile W3 mkuu kabla ya 12 pro jua 11 pro ndo alikuwa baba wa tecno zoteee
Labda nikuulize wewe bei sahihi unajua ni tsh ngapii???
Bob kushindana na mimi kuhusu bei za simu au uwezo ni unapoteza muda wako. Ukiona nimekwambia kitu kuhusu simu kichukue kama kilivyo usibishe.

Ili tumalize utata wewe lete hela nikukabidhi 12 Pro yako.
 
@Castr,Wewe una hisi bei ila huja wahii kwenda dukanii.

Na kama umeenda basi utakuwa unaangalia bei baada ya quality.

Nachoo omba naomba unielekezee sehemu unayo jua kuna camon 12 pro kwa hiyoo bei niende keshoo. Na huu uzi naufutaaaa.
 
Bob kushindana na mimi kuhusu bei za simu au uwezo ni unapoteza muda wako. Ukiona nimekwambia kitu kuhusu simu kichukue kama kilivyo usibishe.

Ili tumalize utata wewe lete hela nikukabidhi 12 Pro yako.
Nataka dukani niende mwenyewe we nipe location
 
Tafutaaa beii ya camon 12 pro nileetee hapa.

Na nenda kaangalieee 11 pro lete hapa.

Bei nilio toa dukani iko hapo kwenye risitiii

Ukipata camon 12 pro kwa bei ya chini niambie au nielekezeee nika nunuee.

Hope najua utakuwa huijuu hizi camon 11 pro vizuriii
Mkuu umepigwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom