Tunatoa Huduma za chanjo kwa mbwa na paka

Apr 15, 2019
14
4
Pet's Vaccination Card

Price: 2,000Tsh | Available

Mifugo Tz ina madaktari(Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama.

Tunatoa huduma mbali mbali za mifugo kama:
a) #Chanjo (Vaccination) kwa mbwa, paka nk
b) Kuzuia maambukiz ya minyoo na magonjwa ya ngozi kwa wanyama wako
c) Matibabu ya magonjwa kwa wanyama
d) Tunafanya operation kubwa na ndogo
e) Na huduma nyingine zinazo fanana na hizo

Huduma zetu ni bora, wengi ni mashaidi, na tutaendelea kutoa huduma bora siku zote maana furaha yetu nikuona wanyama wana afya bora.

Ushauri: Ni vema kuwachanja (vaccination) wanyama wako na kuwafanyia matibabu stahiki maana kwa kufanya hivyo unalinda afya ya mnyama wako na afya yako, ya familia na jamii kwa ujumla.

Hii ni kwasababu binadamu anaweza kupata maambuki ya vimelea vya magonjwa kutoka kwa mnyama lakini binadamu pia anaweza kuleta maambukizi kwa mnyama pia kitaalamu haya magonjwa yanaitwa zoonotic diseases.

Mfano wa magonjwa hayo (Zoonotic diseases) ni kama:
a) Rabies (Kichaa cha mbwa) - Virus
b) Helminthosis (Baadhi ya minyoo)
c) Leptospirosis - Bacteria
d) Tuberculosis (TB) - Bacteria

Na mengine mengi

#mobilepetclinic #animaltreatment #animalsclinic #pethospital #hospitaliyawanyama #veternarian #vetdoctor #animaldoctor #doctorofanimals.

Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023

Email:
mifugotz@gmail.com

@mifugo_tz
@kilimo_tz
@afyakiganjani

#daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #clinicyamifugo #paka #mbwa #cathospital #doghospital #dogclinic #catclinic #madawa #madawayamifugo #kituochaafyayamifugo #petclinic #petcare
IMG_20191201_221242_883.jpeg
IMG_20191201_095802.jpeg
IMG_20191201_095845.jpeg
 
Back
Top Bottom