Nyumba na eneo vinauzwa Mbezi Beach

dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
3,188
2,219
Nyumba ipo Mbezi Jangwani Beach
Ndani ya eneo kuna nyumba 2.

Ukubwa wa kiwanja ni 3500 sqm

Bei 350m

Panafaa kujenga ukumbi, hotel, bar nk.

Maongezi zaidi 0756060183

IMG_20191127_164233.jpeg
IMG_20191127_164227.jpeg
IMG_20191127_164220.jpeg
IMG_20191127_164303.jpeg
 
Leo namuona Dovillenproperty kwa mara ya kwanza anatangaza property inayoendana na uhalisia! Hilo eneo ni zaidi ya 3/4 ekar, sema am not VERY comfortable na huo uoto unaoonekana hata kama eneo limezungushiwa ukuta wenye msingi imara.

My angel Khantwe, hebu kaangalie hilo eneo, nikimaliza kuvuna ufuta nitakuja kuchukua jibu kwako kama panatufaa bila kusahau yale madeni uliyosema unadaiwa! I hope madeni yenyewe hayatokani na mpaka rangi kucha; manake isije ikawa ni malipo ya kumfunga mdomo baada ya kusema atasema kwamba amefanya yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom