Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunasambaza vifaa vya ujenzi tajwa hapo juu, Kwa bei ya jumla hususani Kwa wale wenye hardware na ujenzi mkubwa, karibu saana Kwa bei ya kawaida Kwa wale Wa kigoma, shinyanga ,Geita ,kagera...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini, Nikitaka kusafirisha bidhaa za kula kama karanga na ubuyu kupitia airport. Natakaiwa nipate vibali gani wandugu? Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wall stencils ni aina ya kupaka rangi ukuta na kuufanya unavutia kama wallpapers, aina hii ya upakaji wa rangi inatumika sana nchi za ulaya na asia na watu wengi wanafikilia kuwa ni wallpapers na...
2 Reactions
36 Replies
15K Views
Papai hizi ni papai za mda mfupi miezi sita tu unavuna, papai hizi ni tamu na nyekundu ndani ina zaa mpaka papai 105, Soko lake ni kubwa sanaa, Eka moja inauwezo wakukupa mpaka milion 100...
1 Reactions
29 Replies
21K Views
Kwa wale wanafanya shughuli za electronics design, Engineering ama Hobbyists hii ni natoa offer ya electronics boards na Sensors 1. Aduino Mega (genuine) for 25K unaokoa 20K from 45k 2. Arduino...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini waungwana, Kuna pori nilikwenda, pana mchanga uliochenjuliwa dhahabu (tailings). Miaka miwili iliyopita nimewahi kununua dhahabu hapo na kuuza Dar es Salaam, so nina uhakika kuwa ule...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Habarini wakuu, Tarehe 25/1/2020 nategemea kupokea Mzigo wangu wa SAMAKI kutoka Mwanza kuja Moshi-kilimanjaro samaki ni sato na sangara wazuri na wakubwa kabsa. Naendelea kutafuta soko la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta wafugaji wa kuku wa kienyeji na hybrid (chotara), nataka kufanya biashara ya mayai nipo maeneo ya dar so aliye nazo Naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo. Vilevile napenda kutoa fursa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Monitor nzuri kabisa..ni wide screen inapatikana Ubungo Dar es salaam..kwa uliye Dar es salaam nakuletea ulipo.. Mawasiliano ni 0658 02 03 61 au 0753 12 14 04..
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Ndugu zangu habari zenu. Naomba kama una uza au una connection na wanapouza maturubai makubwa yale kwa lengo la kuezekea Jengo naomba kujulishwa. Au anayepafahamu hapo kkoo anisaidie natafuta yale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pata ......logo, flyers, banners, bronchures, billboards, business card,flex banner,...! Kuanzia Web Ad's hadi animation flyers...... Sample work katika reply za thread...
0 Reactions
56 Replies
12K Views
Mkuu wa Chuo Cha BITECH TRAINING COLLEGE LTD chenye namba za usajili VETA/MZA/PR/2015/C/028 cha jijini Mwanza anawatangazia wahitimu wote wa darasa la 7 ,kidato Cha 4 na 6 mhula Mpya wa masomo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nahitaji makabati kwa ajili ya duka la dawa... Mwenye ako nayo ani DM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwema humu, Ninapangisha nyumba iko Mkuranga Ngunguti, Kilometa 1.2 kutoka Mkuranga Stand. Iko karibu na Shule ya Msingi Ngunguti. Ni nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, kimoja kikiwa ni Self...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
anayejua bei ya hii gari Toyota Alphard naomba anisaidie please! naimani humu JF ni sehemu ya kupata jibu sahihi kuliko huko mtaani
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Nahitaji toyota harrier new modal( hybrid) offer yangu ni milioni 12 kama unayo tufanye biashara.Vile vile nauza toyota crown yangu kama uko nterested unaweza nicheki.Aksante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wapendwa poleni na majukumu. Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya kilosa mikumi. Mkoa wa Morogoro Wilaya ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hapo vip! Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali. sifa ya mitambo hii. -hata jua likiwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom