Msaada ramani za nyumba za hostel au apartments

Msaada ramani za nyumba za hostel au apartments

ujenzi huchukua pesa nyingi sana ila wengi hawako tayari kupata ushauri sahihi kutoka kwa wataalamu katika eneo husika.

Nakushauri upate architect akupe consultation namna ya kutimiza ndoto yako na namna ya kutumia pesa yako. otherwise usije jikuta unapata maswali mengi kuliko majibu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante kwa ushaur.
ujenzi huchukua pesa nyingi sana ila wengi hawako tayari kupata ushauri sahihi kutoka kwa wataalamu katika eneo husika. nakushauri upate architect akupe consultation namna ya kutimiza ndoto yako na namna ya kutumia pesa yako. otherwise usije jikuta unapata maswali mengi kuliko majibu!


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom