Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Piki piki used Inauzwa Aina: Hero Dawn, cc 100 Mzalishaji: India Bei: Tsh 1,200,000 Mahali: Dar es Salaam Inatembea na iko katika hali nzuri, Ilikuwa ikitumika kuendea kazini na kurudi na Haina...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Make : Toyota Model : RACTIS Year : 2006 Engine Model : vvti Push to start Capacity : 1290cc Location : kijitonyama Full AC Full Documents Price : 9.7M Call : 0717436363 Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye king'amuzi cha azam aniuzie pajet yangu 70000 tu anicheki whatsapp 0715992666 nipo dar
0 Reactions
5 Replies
958 Views
Nahitaji pikipiki aina ya haujue ofa raki 900000 0719337897 mwenye nayo anicheki Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana JF naitw john napatikana Kibaha pwani nauza Mapapai ya kisasa makubwa kwa madogo karibuni sana kwa mawasiliano 0686301689 pamoja sana bei za shamba
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale Wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo tunayofuraha kuwatangazia upatikanaji wa dagaa safi kutoka Mwanza. Sifa za dagaa ni Wasafi hawana mchanga Siyo wachachu kama uliyowazoea...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Gari ipo Japan na inachukua siku 30 kufika pindi unapo agizia na hiyo gharma ni GHARAMA KAMILI PAKA GARI LINAKUFIKIA MKONONI IKIWA NA KILA KITU KASORO BIMA na pia hamna gharama zozote zitakazo...
2 Reactions
92 Replies
23K Views
] Kama upo tayari kujipatia ramani ya nyumba hizi ni PM kwa maelezo zaidi
3 Reactions
5 Replies
12K Views
Jenga Nyumba Nzuri kwa Ramani Za Kisasa ,Jipatie Ramani za nyumba za Kuishi Na Ofisi Kwa Bei Nafuu CONTACT:+255 718295182 """""""""""""""""""""""" Tunapokea na kutangaza bure matangazo ya...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Hizi zote ni kazi zangu kwa anayehitaji kuanza ujenzi ramani ni kitu cha muhimu karibuni Tunakupa kwa bei ya ofa Whatsup +255624004650
0 Reactions
1 Replies
3K Views
TUNAKUFATA, KUFANYA KAZI POPOTE ULIPO, MBELE YA MACHO YAKO* Bei tumeshusha Kwa 30% TUNABADILISHA VIOO ORIGINAL VYA IPHONE ZA AINA ZOTE KWA GHARAMA NAFUU KWA KUTUMIA MITAMBO MAALUM TOKA BELGIUM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF, Karibuni mjipatie chakula cha samaki chenye virutubisho vya kutosha. Simu: 0767900396 au 0782391954. KARIBUNI sana.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Karibuni kwa wale wote wanaohitaji printing services kwa haraka zaidi Tunaprint bussiness cards,invoice books,Delivery note,Orderbook,Vipeperushi,Vitabu,Stickers nk. Tupo mikocheni kwa Mwalimu na...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Mpya linauzwa 480,000/= Nimelitumia miezi 5 Nakuuzia kwa 300,000/= Maongezi yanaruhusiwa Pia kitanda 6×5 tsh 150,000/= Sofa la watu watatu..90,000/= Lengo la kuuza ni kutokana na kwamba nahama...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habar wana JF, kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza, ninahitaji pikipiki kwa ajili ya matumizi binafsi na biashara pia.....iwe na masharti na vgezo vifuatavyo: (1) iwe imetumika ndani ya mwaka...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Wana JF, Kwenye viambatanisho, ni Suzuki Escudo 3 Doors inauzwa Hii ni gari yangu mwenyewe, mini sio dalali, mmiliki mmoja (mimi mwenyewe) imported from Japan Sept 2012. Nimenunua kwenye...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jipatie ramani nzuri za nyumba pamoja na B.O.Q kutoka JM construction company MAWASILIANO:0758294772(Engineer) MAWASILIANO:0657855955(Engineer) tunapatikana Dar es salaam izo ni baadhi ya kazi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mahali: Madale Mwisho (Kwa mzungu) Ukubwa: 20 * 30 (Sqm 600) Bei: 7,500,000. Status: Kimepimwa na kina hati, Umbali wa kilometer moja toka Madale Stand. NB: Malipo ya awamu mbili kwa kuanza na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nauza maharage Yale ya njano pamoja na soya. Bei ya jumla ni 2200 per kg. Nina zaidi ya gunia 10 za kilo mia mia. Nimepata dharura ya kiuchumi naomba MTU anayeweza kununua kwa bei ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana Jf, Napenda kutumia jukwaa hili kuwaletea habari njema kuhusu simu za Vivo Ile kampuni maarufu duniani ya utengenezaji wa simu bora kabisa kwa technologia ya hali ya juu...
3 Reactions
95 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…