Dodoma: Nauza Maharage kilo moja 2200

Dodoma: Nauza Maharage kilo moja 2200

Joined
Sep 30, 2019
Posts
48
Reaction score
81
Wakuu nauza maharage Yale ya njano pamoja na soya. Bei ya jumla ni 2200 per kg.

Nina zaidi ya gunia 10 za kilo mia mia. Nimepata dharura ya kiuchumi naomba MTU anayeweza kununua kwa bei ya jumla. Au kama unamjua anayeweza kununua nipe connection.

Nipo Dodoma mjini 0714846721
 
Back
Top Bottom