Nunua raba aina ya platform sneakers, zina soli ya juu kidogo, ni nyepesi na imara
Pair moja utapata kwa 25000 tu
Wedge za kike utapata kwa 28000 tu
Napatkana mbezi luis dsm.
Mawasiliano ...
Kiwanja kinauzwa kipo Madale kina square meters 1575 Bei milioni 35 mazungumzo yapo kwamhitaji namba no: 0764586952.
Kiwanja madale mwisho ukubwa 20/30 Bei milioni nane mazungumzo yapo kwamhitaji...
habari wadau...
nauza vifaa vya kuprint tshirt used kwa atakayehitahiji..
1. screen printing machine milioni 4. vastex 4 color x 4 station na flash dryer yake.. bado bora kabisa... uje na fundi...
Ford Rangel XLT 2006
AC ya Kujaza
Diesel Manual
Location: Mbezi Beach
Simu: 0774819712
Gati imekaza
Bei 7ML inavunjika na IST au VITZ isiwe na kipengele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fika dukani kwetu tukupe simu original na zenye warranty na offer ya cover na protector free kabisa.
iPhone 6
16gb
Black & Gold
400,000
New
iPhone 6
64gb
Gold silver & Black
450,000
New...
Nyumba Inauzwa Bunju sqm1860 Bei Million 650 vyumba vitano vyote self Bunju B uwanja wa simba 2klm toka lami ukiingilia Bunju b kituoni ukiingilia njia ya kwenda uwanja wa simba 1.2 klm ina title...
Heri wakuu,
Maji yamefika shingoni nimevunja kibubu kupambana nisizame majini. Kuna location ya uhakika nimepata katikati ya Dar, Wilaya ya Ilala. Eneo lina mzunguko mkubwa wa watu na kazi kibao...
Nyumba inayojitegemea inapangishwa
Iko-Dar-es-Salaam TZ
Mahali - Goba
Eneo - Tegeta
Nyumba mpya ya kisasa
Ya kifamilia kubwa
Yenye:-
Vyumba vinne vikubwa vya kulala vitatu kati ya hivyo ni...
Habari za muda huu,
Natafuta kazi ya usimamizi mauzo, usimamizi viwandani, usimamizi miradi, kampuni yyote n.k. Au kama una connection ya kazi yoyote tuwasiliane.
Nipo Morogoro Mjini.
Namba...
Wakuu habari,
Natafuta kuku (matetea) ambao bado hawajaanza kutaga, ila wawe wameshaliza zile chanzo muhimu. Atleast kuanzia umri wa miezi 4,5
Mimi nipo Kimara, Korogwe
Whatsapp, Call, SMS...
Habari wakuu.
Natafuta chumba Dar, maeneo ya Sinza tu.
Sana sana iwe sinza ya mlimani, Mori, Mapambano, Makaburini, Na Law school.
Bajeti yangu haizidi 100k.
Ahsante.
Leo nimechinja mbuzi kama 20, na nauza korodani zake, anaetaka tuwasiliane.
Angalizo: Kw wanaume, hakikisha mwenzio yupo karibu baada ya kula hizi kokwa
Habari wakuu
Baada ya maombi ya muda mrefu, Drone Computers tumeamua kuanza kukodisha laptop kwa watu wanaofanya miradi ya muda mfupi kuanzia miezi 3 na kuendelea. Aidha kila laptop italipiwa...
True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) itaanza tarehe 09/03/2020, Dar Es Salaam City Center.Golden Jubilee Towers, 17th...