Ina wezekana
Member
- Sep 2, 2017
- 74
- 170
Liwe Dar.
Ukubwa futi 20.
Bei makubaliano.
Ukubwa futi 20.
Bei makubaliano.
Je VP kuhusu kusafirisha au kupeleka site yako?gharama zikojeNinazo 3, bei 5M ila ni 40ft ni kama mpya kabisa. Kama uko tayari sema nikuelekeze zilipo uziangalie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo moshi vp hashuki mkuuNinazo 3, bei 5M ila ni 40ft ni kama mpya kabisa. Kama uko tayari sema nikuelekeze zilipo uziangalie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usafirishaji kutoka zilipo ni juu ya atakaezinunua, mi naziuza kama zilivyo na kuzitoa mahali zilipo sio juu yangu.Je VP kuhusu kusafirisha au kupeleka site yako?gharama zikoje
Naomba niulizie ile crane inayobeba itacost bei gani from dar to chalinze bossUsafirishaji kutoka zilipo ni juu ya atakaezinunua, mi naziuza kama zilivyo na kuzitoa mahali zilipo sio juu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nitakutafuta