One of our Best Solar System Installed by RESCO (T) LTD at Kigamboni Dar es Salaam.
KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZETU BORA ZA SOLAR KWA MKOA WOWOTE TANZANIA.
WASILIANA NASI 0784232526
INSTAGRAM...
Ni office kubwa, kuna partition mbili kubwa
Kuna choo ndani
Madirisha makubwa
Parking nje ipo ya kuweka gari
Location ni nyumba za Nhc opposite na Dar free Market
Kodi ni laki nne na nusu kwa...
Pata peanut butter smooth yaani siagi ya karanga laini yenyemchanganyiko wa chumvi tamuuj isiyochanganywa na kitu zaidii ya chumvi tu lainiiì kwa bei chee kabisa ya sh 3500 tu na pia tunatoa offa...
Nauza viatu vya Sperry Top Sider US Size 8.5M.
Viatu ni pair mojq tu na ni vipya kabisa bila boksi.
Sababu ya kuviuza ni kugundua viatu vina size ndogo baada ya kuwasili kutoka USA.
Bei...
Vifaa hivi vyote vinauzwa.
Ilikuwa ni kama Library lakini biashara haikuwa nzuri hivyo Ofisi inafungwa. Kama kuna mteja anaweza kuja kuvinunua hivi vitu,kindly naomba tuwasiliane.
1. Display...
Wadau nahitaji ideas kuagiza iPhone 7 through Amazon/Alibaba kununua nchini ipi nafuu?
Pia specifications zipi muhimu nisijeuziwa mche wa sabuni komoa!
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu.
Salaam wadau,
Tunahitaji mfanyakazi wa usafi wa ofisini kazi kubwa ni kusafisha ofisi na samani za ofisini.Ofisi ipo Upanga maeneo ya Muhimbili - Dar es Salaam.Tutafurahi zaidi kama amepitia...
Android application development kwa yeyote mwenye uhitaji wa kutengenezewa application ya android kwa matumizi ya kiofisi,binafsi and other uses anaweza kuwasiliana nami nkamfanyia mpango,pia...
Habari JF.
Nimepata transfer kuja Morogoro kikazi mjini ila sina wenyeji hapo kabisa hivyo naomba kujua gharama za chumba kimoja ambacho ni self container pawe na maji na security nzuri naweza...
Toyota Harrier new model
Reg DES
Cc 2360
Ya mwaka 2007
Good condition
Full paid
Full documents
Bei Kama Bure ml 16,500,000/
Maongezi yapo kwa serious customer.
Contact : 0764320475
NB: Gari...
Wadau wa JF, amani na upendo uwe Nanyi!
Nimekuja kwenu nikiwa nahitaji Compressor Mashine kwa ajili ya kutobolea mawe (drilling) ambayo baadae nitayavunja kwa baruti Kisha kuyauza kwa wateja...
Sale Sale
Bought new from Japan/
All in Good Condition/
Ni Vifaa vyote vya kufanyia kazi/
Vifaa vilivyopo;
-Tyre Changer,
-Compressor ujazo litre 500.
-Charge betri yenye uwezo wa kucharge...
Generator 6 zinauzwa kwa pamoja ...brand ni FG WILSON.
Zimetumika kwa muda wa miezi kumi(10) hazina tatizo lolote
Full automatic
Capacity: generator 4@ moja ina KV 30
Na generator 2 kila moja ina...
Habari zenu ndugu wana jamii?
Kwa mara nyingine, napenda kuwatangazia wale wapenzi wa riwaya za kipelelezi kuwa vitabu aina nane vya Joram Kiango vilivyoandikwa na marehemu Ben R. Mtobwa sasa...
Kwa mahitaji ya poster za events mbali mbali tucheki kupitia 》》》》 [emoji3513] 0656461960
》》》》》 Bei yake ni elfu 30 tu! [emoji389].
Karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app