muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 659
Habari JF.
Nimepata transfer kuja Morogoro kikazi mjini ila sina wenyeji hapo kabisa hivyo naomba kujua gharama za chumba kimoja ambacho ni self container pawe na maji na security nzuri naweza pata kwa bei gani. Au hata chumba na sebule cha quality hio.
Na maeneo mazuri ya kuishi kwa Morogoro. Nadhani wenyeji wapo mtanisaidia briefly infomation.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app