Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

KWA MAHITAJI YA KUUNDIWA INVETER AU BOOSTER ZA MUZIKI WA NJE NA MATUKIO WASILIANA NASI. AINA ZA INVERTER SQUARE WAVE INVETER 1. Watt 300 Tsh 150,000/- 2. Watt 500 Tsh 200,000/- 3. Watt 1000 Tsh...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi all member, Nimefanya utafiti wangu simple kwa ajili ya kujua biashara gani na weza kuingia na biashara hiyo ikawa na opportunity ya kukua (growth) kulingana na wateja niliowakusudia (target...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Natafuta kiwanja morogoro mjini bei m1 kama unacho nitafute kwa 0789240930 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Napatikana Kagera Ngara. Bajeti yangu 350k. Mwenye kua nayo niPM.
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natumai mmpo wazima wote, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Kuna nafasi 1 kwa fundi cherehani anaye tafuta sehemu ya kufanyia kazi. Sehemu ipo Buhongwa, ni garment ambapo kuna kaa mafundi 6...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza vifaa mbali mbali vya mziki na studio(used) Yamaha keyboard psr 443 = 450,000 bass Gitaa (ibanez sound) = 350,000 Studio mic (Tockstar) = 270,000 Studio Speaker (Alessis New)= 1,100,000...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wale wote wanaohamia na kuanza maisha jijini Arusha, na pia kwa wenyeji ambao mnahitaji/mnatafuta CHUMBA, FREM ZA BIASHARA, NYUMBA NA VIWANJA, nitafute kwa huduma hizi. 0715365934/0784321716...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
**UPDATE: Nashukuru nyumba imepatikana, Shukran kwa JF nimeweza kuokoa Sh 200,000 ambazo ningemlipa dalali.** Kichwa cha habari chahusika. Iwe karibu na barabara, iwe mazingira rafiki kwa watoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2020. Nia x-2 headphones -zina equalizer -zina beat 3d base -zina FM mode -SD card reader -zinakaa na charge 7 hours mpak 9 Free delivery kwa Dar es salaam 0683484606 Bei inapungua. Sent using...
0 Reactions
6 Replies
921 Views
Habari za leo, Nina vifaa vya kazi ya car painting na body work, Yani compressor ikiwa na pipe yake,na mitungi ya gasi na pipe na mikono ya kuungia. Niliwanunulia watu wafanyie kazi lakini...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris, Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo lipo karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni (beach) Bahari ya Hindi. Panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba kuelewa naweza kununua injini ipi ikatulia vzr kwenye Toyota RAV4 j twin cam 3s G.E, ya uingereza cio japan, gari naipenda sana ivyo nataka nibadili injini niweke yenye Cc angalau...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari apo juu. Mimi ni mdau mkubwa wa mazoezi hasa ya kutanua misuli ,, gym.. but nimekuwa sina muendelezo mzuri wa mazoezi kutokana na kubwana na majukumu ya kikazi, hivyo...
2 Reactions
33 Replies
16K Views
Pikipiki Inauzwa Aina Sanlg iko Shinyanga Bei 1850,000/= Imetumika 7 month tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sanitizer zinapatikana jumla tu Bei rahisi sana Tshs 4000 Ukichukua nyingi bei inashuka Mawasiliano: 0652472486 Ongeza la hii bei limetokana na uhaba wa ethanol sokoni Ukichukua nyingi sana bei...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wadau, Nahitaji gari ya kukodi kwa siku elfu 25 yenye cc ndogo 1500 kushuka chini, kwa matumizi binafsi sio biashara, kwa mwezi mmoja, kama mabadiriko ya kikazi yakitokea nitaongeza...
1 Reactions
35 Replies
9K Views
habari wana bodi. Nauliza mahindi ya njano naweza kupata kwa nani na yanauzwa bei gani? Niko singida mjini nayatafuta tafadhali
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu habari! Naomba anayefahamu hiki kifaa cha kuitwa automatic soap dispenser anisaidie niweze kukipata, au Kama unauza Basi tujulishane. Hiki kifaa ni automatic kwa ajili ya kunawa mikono...
1 Reactions
0 Replies
723 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…