Habari za humu ndani, viwanja vinauzwa vipo singida manispaa. Viwanja hivi vimepimwa bei ni kuanzia shilingi million 2 mpaka million 4 kulingana na ukubwa wa kiwanja. M² ni shilling 5,000 kwa...
Jipatie subwoofer aina ya mr uk bei elfu 92.000 ina warrant mwaka 1 inatumia bluetooth, memory card na flash, usd volume yake 30, kama upo nje ya mkoa wa Dar es salaam na unaitaji bidhaa nakuomba...
Kitanda 5/6na godoro lake Dodoma inchi 8, meza mbili za vioo, vinauzwa.kitanda na godoro tsh 220,000.
Meza zote 90,000.
Vinapatikana Gongolamboto kituo kipya. Simu.0652595942
:Hisense tv inch 43 version B6000 naiuza
:nimeinunua mwezi mmoja uliopita,haina shida yoyote
:kila kitu chake kipo-warranty,remote,boksi na maboya yake,stand ya ukutan pamoja na miguu yake ya...
Habar Yako mwana Jamii
Land Rover 110 cc 2500 ya mwaka 1998 imetembea umbali usiozidi kilometer 250,000. inauzwa kwa bei ya Tsh. Million saba na nusu (7,500,000/=)
Sasa nimeweka picha kwa wale...
Wakuu, Salaam, kwa wafanya biashara na wajasiriamali.
Nina machine mpya kabisa heavy duty vacuum ya kupakia bidhaa yenye double chambers. Naiuza haraka kidogo bei nzuri sana. Tshs 2.5 M. IPO...
Kwa atakae hitaji pump za solar ninazo mbili ni mpya kabisa hazijawai tumika kutoka kwa kampuni ya Lorentz
Power=1700W
Head=120m
Price @1,400,000
Zipo mbili
Location= Dodoma
Phone: 0715277821...
Hi!
I need some few volunteers who will be putting adverts on mnadan dot com website anywhere in the United Republic of Tanzania. It goes without saying that any who volunteers will be paid 500/-...
Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:-
*Piga/text/WhatsApp*...
Nauza Simu Tecno CX. Bei price ni 170,000. Mawasiliano zaidi 0712220207 au 0767173885. Baadhi ya Specification zake ni Ram:2GB Internal Storage:16GB Camera: 16 Mega pixie mbele na nyuma.
Sent...
Hapo vip!
Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali. sifa ya mitambo hii. -hata jua likiwa...
Kiwanja chenye ukubwa wa 1242m² kinauzwa maeneo ya Lukobe Morogoro Manispaa, kipo jirani na barabara kimepimwa na kulipiwa ada zote. Bei Tsh 6,000 000. Piga +255754202507 kwa maelezo zaidi
Karibu Yalin global limited tuliopo dar es salaam tabata matumbi ,tunauza mabati aina zote,square pipe na misumari kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0689008719 na WhatsApp namba 0672087564...
Vyumba vitatu chumba master dining room public toilet jiko stoo na sitting room pia umeme maji tires window full A/C na kwa mhitaji piga simu kwa maelezo zaidi
Simu ""'' 07 10 75 15 76
WhatsApp""...
Jipatie MKOPO WA KIWANJA kwa muda wa Miezi 12. Bei hizi ni kwa kila mita moja ya mraba. Viwanja vipo;
[emoji830]GOBA KULANGWA - 32,000/=
[emoji830]GOBA KULANGWA 'B' - 30,000/=
[emoji830]GOBA...
Habari wana jukwaa.. Kuna kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Kiharaka Bagamoyo, ni baada ya Bunju au Mbweni. Ni eneo endelevu kwa sasa lenye Umeme tayari na mchakato wa majo ya DAWASCO.
Kinaukubwa wa...
Nauza shamba nimepanda papai eka 1 na nusu,
Ukubwa wa shamba eka 5 maji yapo mengi, shamba lipo wilaya kisarawe njia ya chanika mwisho, shamba nimeng'oa visiki shamba zima, kuna kibanda cha bati...