Nahitaji Laptop bajeti 50000

Nahitaji Laptop bajeti 50000

Tangazo la kibabe kama ndugway😀
 
😂😂😂😂😂buddaaa,hebu kuwa serious asee,PC kwa 50k!? serious like!!!!?
 
Keyboard yako ina limitation kwamba huwezi type zero zaidi ya nne au ni nini mkuu
 
Aisee hiyo bei Nina laptop hapa keyboard mbovu, haicharge, na cover yake inashida kidogo ila ni nzima Network kila kitu unafanya Toshiba Hard disk 500 GB
Window 10 ongeza Hela nikuachie hiyo 50,000 nikiifungua Hard disk tu 500 GB napata hiyo hela
Contact 0710999771
 

Attachments

  • IMG_20200505_094758.jpg
    IMG_20200505_094758.jpg
    117.9 KB · Views: 6
Mkuu hii hapa MIN laptop dell inspiron
Intel atomi 1.50 ghz
2gb ram
120gb HDD
Haikai chaji
Ninzima Inafanya kazi haikai chaji
Katika elf 50 ongeza elf 30 nikuuzie
Bei ni TZS 80000/=

Nicheck 0620552992
Location Makumbusho STAND DSM
View attachment 1442200
20200507_004627.jpg
20200507_004612.jpg
20200507_004620.jpg
 
Back
Top Bottom