Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,088
Nyumba yenye vyumba 3 kimoja Master Bedroom, Public toilet ndani, Sitting, Dinning, Kitchen, Library, Verondor inauzwa MWANZA eneo la Cocacola/Busenga. Pia nyumba ina umeme na Maji msimu wote wa Mwaka. Kuna Garden nzuri ya kuvutia pia kuna eneo kubwa la ziada kwa kujenga nyumba zaidi au kuweka mabanda au kulima Bustani. Dakika 15 tu unaingia Mjini. Wasiliana na Owner 0762226973. Hakuna dalali, Karibuni Sana.