Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mshauri wa biashara, Mjasiriamali na Mkurugenzi wa Kampuni ya ushauri Wa biashara ya CPM Business consultants, anatoa Ushauri Wa biashara kwa Mkampuni, vikundi na watu binafsi kwa gharama nafuu...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Napenda kuwasilimu wana Jf wenzangu. Ni jambo jema sana kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa afya na uhai. Ninauza vifaranga vya kuku aina ya kuchi mdomo pini. Kuchi wenyewe kabisa sio hao...
0 Reactions
51 Replies
22K Views
Habari za leo wanajamvi, Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati. Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Haina tatizo Ina betri lake Lenz 18_55mm Mawasiliano. 0757 936 699 Dar es salam, Kinondoni .
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wana JF, Wahi ofa yako Sasa uendeshe gari yako this 2020 specifications NI Kama zifuatazo Subaru Impreza (DRV) Year 2010 Cc 1490 Push to start Clean seats Sports rims with new tires Full...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Toyota Allion, namba D. Ipo Moshi. 8.5 non negotiable 0717960200
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Habari wanazengo, Ninauza machine ya ice cream ikiwa bado mpya (haijatumika sana ni miez 2), inauwezo wa kuzalisha ice cream elfu 6 kwa siku. Utapata mould zake 2 na ukihitaji maji yake ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160947. Insurance ipo valid mpaka March 2021, Engine, Gear box na tyre zote nne zipo bomba kinoma...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama unavyojua, Ili uweze kutumia application ya Tigo Agent unahitaji OTG. Na OTG zipo kwenye simu chache tu. Kwenye simu nyingine inabidi upoteze muda wako ku-donwload OTG kwanza ndio Iweze...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tv ndio hiyo hapo, haijawahi kumuona fundi.....panasonic inch 21 Bei Tsh.80000/- Maongezi yapo. Ipo Dar es Salaam..Upanga.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa karibuni mikoba ya kisasa,ngozi na yakuvutia,nauza jumla na rejareja..jumla naanzia pic 3 bei 37000 jmla na rejareja 40000 napatikana mwanzapia unaweza nochek ili kuona disn...
6 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nauza simu Aina ya samsung a50 kwa bei rafiki kabisa ya 550k Karibu PM au piga simu namba 0692377018 kwa biashara. Simu bado ni mpya imetumika ndani ya mwezi tu mmoja iko na kila kitu...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Wanafunzi wenye sifa tajwa au Div. IV ya 34 na kuendelea: 1. Wahitimu sifa tajwa wanaalikwa na Kituo cha Elimu cha Utawala-Hombolo kujiunga na masomo ya mwaka 1. 2. Wakimaliza masomo watapata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza masofa shilingi laki 7 (Tsh700,000/=) mwenye uhitaji anicheck 0764124429. Mzigo upo kongowe ya Mbagala, njia panda ya kwenda Kigamboni.
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Jipatie hisense tv's kwa bei poa kabisa Zina warranty ya miaka miwili Free delivery kwa wateja wa Dar es Salaam Tupigie au whatsapp 0765586050 Hisence 32”. 440k Hisence 32”smart. 510k Hisence 40...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Mayai hayoooo yanasubiri tu oda yako Bei 6000_ 7000 tu Trei mpaka 100 zinapatikana kwa wiki Tupo MBEZI MWISHO DAR ES SALAAM 0769652919
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Aminia games tunakuletea PS2 COMPLETE INAUZWA 160K Ipo katika hali nzuri imechipiwa Ina memory card ya kuboot na kusave ina flash disk 8gb na games 4 unazopenda Ina pad mojaina cables zote,(waya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Business Plan (mpango biashara) ni nini? Business Plan ni taarifa iliyo andikwa ambayo huonyesha lengo la biashara husika kwa kuonyesha hatua muhimu za kupitia ili kufikia lengo. Hapa unapata...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nahitaji kioo cha TV Hisence inchi 55 Nilinunua TV yangu mpya last week, sasa kwa bahati mbaya kioo kimevunjika upande wa juu kulia na kama wino hivi umevuja Kwa yoyote mwenye uwezo wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom