Kwa aliye na mbwa aina ya German Shepherd na anauza naomba anicheki PM. Ila na-prefer wawe wadogo at east miezi 2 au 3.
Bei iwe nzuri, ninahitaji wawili.
Nimepata kusoma sehemu tofautitofauti inaelezwa kwamba hii ni aina ya mbwa wenye akili zaidi miongoni mwa aina za mbwa kuwahi kutokea.
Kutokana na hili nimehamasika kujipa muda wa kufanya...
Habari wakuu!
Nahitaji mbwa aina ya german shepherd, kwa ajili ya kufuga na ulinzi. Sifa awe ameacha kunyonya na ningependelea awe mix ya hawa wa kwetu na pure german shepherd.
Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha:
Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya...
Je unasumbuliwa na kuta yako ya nyumba kuharibiwa na fungus?. Na nymba yako imepoteza muonekano mzur?.
Tutafute na tukufanyie kazi yenye garantee achana na kuweka tiles sehem ambayo haitaji tiles...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea
Sandals za kiume pamoja na za kike zinapatikana kwa bei nafuu sana
Za kike jumla 5000 kwanzia pc 10
Reja reja 7000
Za kiume jumla 7000
Reja reja 10000...
Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer...
Kampuni ya Ante BV. ya Uholanzi inajishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa mashine na Mitambo ya kilimo na usindikaji wa Maziwa na vyakula vinginevyo. Mashine hizi ni mipya kwa oda maalum toka...
Tunatoa huduma ya kurudisha data zilizopotea ama kufutwa kwa bahati mbaya (Formatted and deleted data)
Kutoka kwenye
-Simu
-Laptops
-External Drive
-Hard disk Drive
-Flash Drive
-memory card
Kwa...
HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE
habari Banc ABC (African Banking Corporation) tunakukaribisha uweze kujipatia mkopo
Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na...
CHECK PRICE LIST APO CHINI HAKUNA MAGUMASHI
*NEW XIAOMI STOCK AVAILABLE*
ALL PHONE ARE ORIGINAL GENUINE SEALED NOT REFUBRISED PHONE
Tap Link To Chat With Me Share on WhatsApp
*Redmi S2 4+64GB*...
Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Kange Tanga
Urefu 27m
Upana 22m
Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum. Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri.
kiwanja...
Kwa majina Naitwa PETER LIVING Mkaazi wa bagamoyo Mkoa wa pwani ni MTAALAMU wa UJENZI wa MASHIMO ya choo majumbani taasisi na kwenye makampuni ...pia ni MTAALAMU nzuri kwenye shimo linalojaa Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.