Trekta inauzwa

Trekta inauzwa

Yumbayumba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2012
Posts
1,240
Reaction score
850
Brand: Massey Ferguson

Model: 290

Engine
Power: 80 HP
2WD

Bei mil 21 mazunguzo yapo

0742228231
IMG-20190728-WA0031.jpeg
IMG-20190728-WA0025.jpeg
IMG-20190728-WA0019.jpeg
_20190727_121950.JPG
IMG-20190623-WA0005.jpeg
IMG-20190623-WA0003.jpeg
 
pia kuna mdau anauliza hapa je baada ya kununua mnaweza kumpa training ya kulitumia direct shamban?
 
Mkuu Hilo trekta lako ni namba D au C?
Maana huwa naonaga Bei zake likiwa jipya kwenye showroom ni 30mil
Mkuu hili ni used limetoka nje hata namba halina, namba itatoka D baada ya usajili
 
mbona unauza fursa
Ni kweli trekta ni fursa, lakini sisi tunayotoa nje tunauza hapa kwetu
Yalikuwa manne moja lishauzwa, la pili ndio hili na kuna mengine mawili yapo boda
 
Ni kweli trekta ni fursa, lakini sisi tunayotoa nje tunauza hapa kwetu
Yalikuwa manne moja lishauzwa, la pili ndio hili na kuna mengine mawili yapo boda
hivi haya mambo yanalipiwa ushuru pale port
 
Back
Top Bottom