Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wakuu, naomba kujua kwa Dar wapi nitapata soko zuri la kuuza ngozi ya ng'ombe na mifupa ya ng'ombe. Naomba mwenye kujua anisaidie tafadhali. shukrani sana.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za leo, Natafuta plastic very strong , and thick , should be at list 0.2millimiter or much till 0.8 millimeter. mahali gani naweza pata? Au ambaye anauza naomba tuwasiliane 0654553163
0 Reactions
3 Replies
494 Views
Habari! Nauza dagaa wanya, ni wakubwa na wanavimba ukiwapika. Robo- 2000 Nusu-4000 Kilo 1- 7500 Location: Dsm, Kimara Contact: 0654171555
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza friji kama inavyoonekana kwenye picha. Bei ni shilingi laki 110,000/= (laki moja na kumi). Haina gesi. Ikiwekewa gesi inagandisha na kupoza bila shida. Ninapatikana Morogoro, Kihonda-Bima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inaukubwa wa SQM- 450 ,Ipo karibu na ghorofa za NHC na chuo cha DUCE. Nyumba ipo katika eneo tulivu kabisa wenyeji wa eneo hili wanaita hii Nyumba kijiji kutokana na Nyumba nyingi zilizopo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello waungwana, Ninasimamia maduka kadhaa ya vipuri vya magari (Used Auto spare parts) ambayo yako locations tofauti tofauti.Kwa hiyo nahitaji SOFTWARE itakayonirahisishia kuratibu shughuli...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Habari za sikukuu ndugu zangu. Nahitaji radio ya gari kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Iwe katika hali nzuri. Bajeti yangu ni laki 1 mpaka laki 1 na 50.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa madalali wote wa Mwanza; ninatafuta kiwanja cha eka moja karibu na ziwani Nyegezi. Wasiliana nami kwa PM ukionyesha picha ya google maps kuonyesh eneo la kiwanja chako. Napenda maeneo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau wa JamiiForums Napenda kuwatangazia kitabu kipya Cha watoto kinachoitwa WATOTO TUJIKINGE NA COVID -19 kilichoandikwa kwa lugha ya kiswahil I na kingine HOW KIDS CAN FIGHT COVID -19...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau. Nina mpango wa kufungua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Niweke kwenye package kisha nisafirishe mikoani kwa wateja wa jumla. Mashine, packages, mahindi, na mengine...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
habari waheshimiwa; kwanza nimshukuru mungu kwa kuzinduka tena maana ilikua siku ya tar 12 game la simba na yanga nilipata ajali daraja la kigamboni na kuvunjika mguu wa kushoto na kulazwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Sasa Mambo yamerahisishwa ni rahisi sana kuishinda njaa na kiu kwa wewe dereva au abiria unayeelekea Dar,Tanga,Arusha kupitia Bagamoyo road. Drive in lodge tunatoa huduma kuanzia Breakfast,Lunch...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Habari za leo, ninahitaji fundi ujenzi ambaye ataweza kukadiria gharama ya ujenzi,idadi ya matofali. Na gharama zote kwa bungalow. naomba tuwasiliane 0654553163.
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Bei shilingi 100,000/= vinapatikana kongowe mbagala. Piga 0785 753780
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Carina TI Ipo Vizuri Sana Namba D 7.7 Million (Maelewano Yapo) Gari Lipo DSM Njo na Fundi Wako Tufunge Biashara Piga/SMS/WhatsApp Kwa 0712500005- Ongea Na Mmiliki Wa Chombo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
anti snoring belt. Kifaa hiki kimethibitishwa kliniki kuzuia kukoroma na kukufanya ulale kwa rahamu starehe. Kukupa afya bora kwa ujumla. . Maelezo: Rangi:ipo ya Bluu na Nyeusi. Kusafisha: fua...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari ya asubuhi,vinahitajika vifaa hivi VARISTOR(32D431K) ,THERMISTOR(CT5D-11).mawasiliano yangu 0769164906
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Wakuu nahitaji kufahamu bei ya mahindi pale Songea Mjini kuna mdau anafahamu basi anisaidie maana nahitaji mzigo mwingi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…