Nahitaji business management software

Izzi

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
553
1,133
Hello waungwana,
Ninasimamia maduka kadhaa ya vipuri vya magari (Used Auto spare parts) ambayo yako locations tofauti tofauti.Kwa hiyo nahitaji SOFTWARE itakayonirahisishia kuratibu shughuli muhimu za biashara kuanzia manunuzi, stoo, mauzo, invoice na kadhalika.

*Hii ni kwa walio serious tu*
Mwenye suluhisho tuwasiliane kwa barua pepe: rackeetz@gmail.com

Aidha maoni na ushauri pia napokea.

Mimi... ninashukuru!!
 
Mkuu
Kama iyo management software (special for autospare)ulipata suluhisho naomba unijuze nami niifahamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom