Natafuta tairi za magari kwa bei nafuu

Natafuta tairi za magari kwa bei nafuu

Karibu Great North Service Station Ltd upate maitaji yako yote kwa bei nafuu tupo mkabala na Triple A Arusha, Tunauza matyre aina zote, tunatoa huduma za service za magari na Hapo hapo kuna petrol station. Karibu
Dunlop Grandtrek AT 21 P265 70R16 unauza Tshs ngapi
 
Size ya tair utakazo na aina ya gari utakayoweka hizo tair
 
Basi ningepend unipe No zako tuwasilian kwa biashara nzr zaid

We n jinga zaidi kwann hukumtafuta yeye mpaka alipoandika hapa ndo unataka akupe namba za simu ukiandika hapa wanaona wengi nakama Bei zako zinaeleweka unapata wateja angalia viewers n wangap kwenye huu Uzi tafsir yake hii n njia mojawapo bira ya kujitangaza bila malipo hayo mambo yakusogezana wawili sio mpango haujengi buashara yako Bali unatia Shaka biashara yako hili ni Moja ya tatizo kubwa la watu wanaojiita wanafanya biashara waliopo Tanzania
 
Mjinga wewe, kwanza ujui kuandika kiswahili sijui umesomea wapi? Pili acha kupanic na conversation za watu; utaki pita ivi umelazimishwa kwan? Huna heshima wala hekima shenzi kabisa.

NI kweli m n jinga kabisa mie n mkazi wa Arusha na nlikuwa nahitaji tairi nne saiz 15 baada ya kupata tatizo la kupasukiwa kwa tair nlitumia jinga ili ujipe changamoto kwenye kazi yako ili ujue ukiweka kilakitu wazi tunajua tuanzie wap lakini sababu hujui unalolifanya wacha nipite hv sa sijui umeajiriwa au n ofisi yako ila wacha nipite hv
 
Attachments

  • IMG_20180923_141128.jpg
    IMG_20180923_141128.jpg
    159.3 KB · Views: 87
Back
Top Bottom