Ist namba b au c inahitajika

Ist namba b au c inahitajika

shankal

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
373
Reaction score
328
Habari za majukumu wakuu nna milioni tano nahitaji gari aina ya ist ya kuanzia maisha namba iwe c au b hamna shida isiwe na mazoezi tu nimejalibu kuunga unga pesa iongezeke imeshindikana nimejikuta naipunguza nakurudishia tu, tupokezane jamani hizo baby walker.
Nipo Dsm Ilala.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Ntumiee inbox namba yako ya simu
 
Dah vijana watz tunyanyasika sana wakati kuna wahindi wananunua magari wanayachezea na kuuza wanavyotaka. Yote hii ni kwasababu sisi hatujashika uchumi wetu hata kwa 10% tunabakia kuwa mashabiki tu wa kusindikiza maisha.

Wenzetu hapo south africa tu vijana wakikomaa kidogo mtu anamiliki BMW, VW, au hata Mercedes ya kisasa na anakaa uswazi kule mbavu za mbwa.... Ni swala la bidii tu yaani. Ila sisi hapa hata uwe na bidiii vipi, bila connection unapoteza muda tu.
 
Lete saba kamili nikupe DL

Hizo C nyingi 6M
 
Ndugu we acha kabisa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Habari za majukumu wakuu nna milioni tano nahitaji gari aina ya ist ya kuanzia maisha namba iwe c au b hamna shida isiwe na mazoezi tu nimejalibu kuunga unga pesa iongezeke imeshindikana nimejikuta naipunguza nakurudishia tu, tupokezane jamani hizo baby walker.
Nipo Dsm Ilala.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
kuna jamaa anasukuma toyota carina 5.5 milioni no C...ukibadili mawazo nichek nikuunge nae..
 
Nina Subaru legacy touring wagon number DTE with mileage of 49k, The reason I'm selling it nahama Tanzania so ndio maana naiuza gari very urgent but is the best car I ever had
 
Back
Top Bottom