Natafuta kiwanja cha kununua

Natafuta kiwanja cha kununua

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,014
Reaction score
684
Habari zenu ndugu zangu wa humu.Poleni na majukumu ya kila leo!

Nina ndugu anashida kidogo nikasema humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa vitu vingi sitokosa jibu sahihi la kumpa(naamini hivyo).

Ana shida ya kiwanja kwa Mkoa wa dsm..kiwanja ambacho anaweza akaanza ujenzi wa haraka zaidi na kuweza kuishi na familia yake!

Amelenga kuwe na huduma za jamii shule Hosp usafiri n.k

Je anaweza kupata maeneo gani na kwa bei gani?

Karibuni Niko makini kusoma mawazo/michango yenu! Natanguliza shukrani
 
Mi ninacho kipo chamazi kinahitaji mi 7 kumejengeka nyumba mpya mpya tu.Kama anaweza yeye au wewe tunaeza ambatana ukakione kwanza.
 
Ninacho nauza mil 3 maeneo ya mbondole

Mbondole ipo mbele ya mbande kama unatokea rangi 3
 
Karibu nikuuzie kiwanja. Viwanja vipo Kibaha Misugusugu ni kilometa 2 kutoka Morogoro road. Dk 5-10 kwa gari kwenye rough road.
20 kwa 20 bei 1.8m
20kwa25 bei 2.3m
25 kwa 25 bei 2.8m
Ukitaka ukubwa wowote unakatiwa heka ama nusu heka bei maelewano. Maelezo zaidi piga 0755401051. Mimi ni mmiliki hakuna udalali
 
Aende mbezi msumi..mpigi msakuzi awe kuanzia 4m kwa msumi na mpigi ila msakuzi awe na 7M kuendelea kwa kiwanja cha 400sqm
 
Viwanja Kigamboni Kijaka ni milion 2 tu.
Vimepimwa kuanzia square meter 400(20m kwa 20m)
Umeme upo mpaka mtaani.
Maji yapo, Shule ipo,Chuo kipo,Zahanati ipo, Kanisa lipo,Msikiti upo.
Viwahi vinaisha mapema.
Hati utapewa baada ya kumaliza malipo.
Site ni kila siku, Jumamosi ni siku rasmi.

[emoji338]
KARIBUNI SANA.
 
Habari zenu ndugu zangu wa humu.Poleni na majukumu ya kila leo!

Nina ndugu anashida kidogo nikasema humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa vitu vingi sitokosa jibu sahihi la kumpa(naamini hivyo).

Ana shida ya kiwanja kwa Mkoa wa dsm..kiwanja ambacho anaweza akaanza ujenzi wa haraka zaidi na kuweza kuishi na familia yake!

Amelenga kuwe na huduma za jamii shule Hosp usafiri n.k

Je anaweza kupata maeneo gani na kwa bei gani?

Karibuni Niko makini kusoma mawazo/michango yenu! Natanguliza shukrani
20×20m
📌KIBAMBA Kibwegere ninavyo nauza 2.5M milioni
📌BUNJU B ,6Milion
📌Tabata Kimanga 15Milion
📌Tabata Segerea 15Milion
📌KIMARA Korogwe 15Milion
📌Kigamboni Kibada Mwera 9000/SQM
📌KIMARA Temboni 25×20 ,15Milion
📌BUNJU A Mianzini 30×20, 20Milion
📌Chanika 20×20m ,2Milion
📌KIBAHA kwa Ufipa 3Milion
📌Mwandege Chatembo 40×50 ,6Milioni
 
Habari zenu ndugu zangu wa humu.Poleni na majukumu ya kila leo!

Nina ndugu anashida kidogo nikasema humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa vitu vingi sitokosa jibu sahihi la kumpa(naamini hivyo).

Ana shida ya kiwanja kwa Mkoa wa dsm..kiwanja ambacho anaweza akaanza ujenzi wa haraka zaidi na kuweza kuishi na familia yake!

Amelenga kuwe na huduma za jamii shule Hosp usafiri n.k

Je anaweza kupata maeneo gani na kwa bei gani?

Karibuni Niko makini kusoma mawazo/michango yenu! Natanguliza shukrani
Mkuu PM viwanja vipo kuanzia 3m mpaka 300m maeneo ya kigamboni.
 
Back
Top Bottom