Msaada wa bei ya cherehani na mashine zingine za ushonaji

Fungo N.

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
252
Reaction score
43
Wana jukwaa nipo chalinze,naomba mwenye ufahamu na bei ya cherahan cha kawaida,mashine za kudarizi vitambaa na mashuka pamoja na mashine zingine zinazohusiana na ushonaji,lakin pia yanakopatika maduka yanayouza bidhaa hizi.
 
Mimi pia nataka kuanzisha tailoring mart, mwenye kufahamu kuhusu bei za mashine hizi na wapi zinapatikana atujuze
 
Cherehani inategemea kama ni mtumba au dukani, za mtumba ziko juu kidogo na imara kuliko za dukani.

Huku Mbeya, bei inaanza na 160,000 na kuendelea.

Mimi mwenyewe nataka nianzishe hii biashara , ila bado sijapata wazo kamili kulingana na hali yangu ( Mimi ni mtumishi wa uma)
Je ni vizuri kumpa mtu- kumkodishia mtu, au niajiri Taylor awe anafundisha vijana, au nipangishe watu wawe wananilipa kwa siku?
 
Mawazo yote mafuriko, ni usimamizi tu.
 
Back
Top Bottom