Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Make:Toyota Model:IST Full documents, Haidaiwi Year:2005 Engine:2NZ VVTI,1290cc Condition:Very Mint,Full ac Ipo:Mwanza 8.5M Call/WhatsApp:0784399081 NB:SERIOUS BUYER ONLY
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta Engine ya Subaru. Aina ya subaru ni; "Subaru cross sport SG5 turbo" Mwenye Yuko na store ya vipuri vya magari tuwasiliane...nimtembelee ofisini kwake. Nipo dar es salaam +255784355775
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Brand New! Cisco Catalyst Switch 48Ports. 2 x 10 Gigabit Ethernet with SFP+ and 2 x 1 Gigabit Ethernet with SFP. Get your Quote Now with affordable Price in Town!.
1 Reactions
4 Replies
822 Views
Pochi original inauzwa ina section 3 za zipu. Bei 70,000/= Zipo rangi ya Brown na black Wasiliana nami kupitia 0682282617 Karibuni sana wateja
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haina tatizo lolote. Ina ukubwa wa 32GB Fingerprint ipo vizuri kabisa. Bei yake ni 145,000 Ipo Mabibo Dar es salaam. Mawasiliano: 0768048752
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Tecno k8 inauzwa tsh 85000 ina miez sita b ina crack kidogo ila kioo na touch viko salama Ipo gongo la mboto 0788643782
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Karibuni sana mjipatie magodoro ya kila aina safi yenye ubora uliohakikiwa na kupitishwa na TBS napatikana kinondoni biafra Yapo magodoro yenye size mbalimbali kulingana na mahitaji yako na bei...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarin ya asubuhi Nauza shamba kisesa mwanza Ukubwa wa 70m kwa 90m karibu ekari na kitu kipo mita 500 toka barabara iendayo Usagara. Bei ni 7m
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunauza vifaa vifaa vya umeme aina zote.Tupo Karia koo mtaa wa Swahili/Narung'ombe Dar es salaam. Jipatie fen,bulb touch,switch,switch socket,pasi,waya,top plug,multi plug, extension,circuit...
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Habari zenu wadau? Nauza eneo la ukubwa wa square meter 7081.9 Lipo km 16 kutoka Mtwara Mjini. Lipo umbali wa meter 860 kutoka bara bara kuu ya MTWARA-NEWALA. Ni katika kijiji cha MDUWI. Kuna...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Bei 17 mil Nissan civilian Engine TD42 Diesel 0682282617 wasiliana nami
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ninapenda kuuliza, nasikia kuna mnada wa Mbuzi na Ng’ombe Jumamosi katika Mji wa Kibaha eneo linaitwa Loliondo Napenda kujua upo sehemu gani hapo Kibaha. Asante C.c @mshanajr mrangi
3 Reactions
73 Replies
12K Views
Ndugu wa tegeta Ndugu wa mbezi beach Ngugu zetu wa Goba mupo Chumba cha 50000 6 months na lipa Wapangaji wasizidi wa 3 Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo Gypsum Tiles...
0 Reactions
5 Replies
716 Views
Specifications:: kiwe ndani ya geti, choo cha ndani, kiwe na mwonekano mzuri yaani kiwe kipakwa rangi ya cream au nyeupe, Location: kuanzia maeneo ya tabata bima, mawenzi, hadi kimanga,au tbt...
0 Reactions
3 Replies
516 Views
Iwe inakaa na chaji walau hata masaa mawili isiwe na tatizo lolote call/txt. 0768048752
1 Reactions
2 Replies
542 Views
Ndugu wa Tegeta Ndugu wa Mbezi Beach Ngugu zetu wa goba mupoo Chumba cha 50,000/= 6 months nalipa Wapangaji wasizidi wa 3 Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo Gypsum Tiles...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama unajijua ni fundi wa ac na uko Mwanza tafadhari naomba tuwasiliane kuna kazi
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Plot size: 1300 Square Meters Plot Status: Surveyed/Title deed Location: Mbezibeach, Goigi behind Crdb bank Price: Tshs 250 Million [ Negotiable ] For enquiry contact: 0716442950 or 0742141467...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini, Nilikuwa nahitaji kufahamishwa wanapouza mashine ya kutengeneza soseji au kama kuna mtu anaweza kutengeneza mashine ya soseji zile kama za kichina. Nimeambatanisha na picha hapo chini
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…