Rejea hiyo Subject hapo juu. Sina nguvu yakununua vipya, hivyo nataka used chenye afya. Natambua na kuheshimu Madalali ila kwenye hili ninahitaji wamiliki.
Juzi dalali kaniambia Carry mil3.7...
Panasonic gh5s bei ya ofa jamani kwa anayeifahamu anajua dhamani yake kama uifahamu tafadhali ingia youtube search "panasonic gh5s review" uone ubora wa hii camera.
Bei 4m (maongezi yapo kidogo...
Korosho Zinapatikana kwa jumla Na reja reja kwa Bei Nafuu Sana{kwa Jumla na Rejareja}
Korosho zipo Aina mbili
1 Brown za chumvi , kilo Tsh 20,000/=
2 Nyeupe kavu, kilo Tsh 18,000/=
unafikishiwa...
Karibuni programu ya PreForm 5, wiki 12 kuanzia tarehe 1 Machi. Gharama ni shilingi laki 5 lakini zitarejeshwa (kwa kukatwa kwenye karo ya shule) ikiwa kijana atajiunga F5 mwezi Mei, kwa hiyo ni...
Tuko kwa ajili yako ewe mfanyabiashara unayetaka ubinifu katika kuwavuta wateja!
Kama una hitaji kuprintiwa mabango na kuwekewa eneo utakalo, ukitaka printing za bronchures, Company profiles...
Jipatie ofa ofa ya perfume msimu huu wa Valentine Day kwa bei nafuu kabisa kwa ajili ya kunogesha siku ya wapendanao ukiwa na perfume bora kabisa!
Tunapatikana -Mbezi Beach Dar unaweza kuweka...
Kumekuwa na changamoto kubwa mbili kwa watu wanaogiza vitu kwenye mitandao hii nguli ya Kichina
Bei ya mali kuwa rahis lakini usafiri kuwa bei kubwa.
Wengine njia za kufanya malipo kushindwa hasa...
WANA JF,
no eneo zuri kwa makazi liko juu hakuna hofu ya mafuriko karibu na kituo cha magari yaendayo mjini kiujumla ni mahali salama kwa makazi being 100,000 kwa mwezi mawasiliano 0699 522471...
Natafuta vifaa vya watoto vya kuchezea mazingira ya nnje kama shule ni.
Mfano bembea, mterezo, baiskeli za chuma zilizounganishwa na chuma mithili ya bembea n.k.
Utumapo bei ambatanisha na picha...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya itel imezindua kampeni ya promosheni ya ‘Nogesha Valentine na itel’ jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde jijini Dar es Salaam meneja...
Kama Kichwa cha habari kinavyo Jieleza natafuta Mtu au Supplier anaeuza Matofali ya kuhimili Moto Mkali (FIRE BRICKS) ARUSHA na DAR.
HUDUMA INAHITAJIKA HARAKA MNO
Niaje wakuu nahitaji kukusanya stock ya kutosha ya mahindi ya njano pamoja na maharage. Hivyo naomba kujua namna naweza kupata, nipo Arusha hapa..
Asanteni.
Habari za leo wanaJF,
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Tabata ama Mabibo/ au Segerea. Chumba kimoja tu. Kikubwa ni mazingira yawe rafiki kwa mtu kuishi.
Umeme uwe wa kujitegemea hata kwa...