As a Founder and Principal Consultant of Furia Consulting Ltd, I cordially introduce you to Furia Consulting Ltd. We offer project management and consulting services in Tanzania and...
Msasa wa umeme aina ya BOSCH PSS 200 AC. Ni brand new haujawahi kutumika wa pembe nne. Bei laki moja 100,000/=
Nicheki kwa no 0686055444 niko dar mbezi mwisho
Wakuu sitaki niwachoshe mimi ni msanii ninajitafutia kipato kutumia sanaa ya mikono yangu.
Binafsi napenda kutumia fursa hii kutangaza kipaji changu pia ningependa na wewe mpenzi uweze kusupport...
Habari wana jf,
Kwa siku ya kesho alhamisi ya trh18/02/2021 natafuta gari aina costa au hiace nipo Dar-es-Salaam Kiwalani, gari inatakiwa saa 11 jioni inatakiwa hapa hapa Dar haitoki nje ya...
Aina nzuri ya hizi mashine naweza kuzipata wapi hapa Dar? Naomba na bei zake:
1. Mashine ya kujaza upepo (Air compressor)
2. Mashine ya kuchomelea (Welding machine)
Kaptula kali, nzito 100% original zinapatikana kwa bei nafuu kabisa...
Zipo Mwenge karibu na Santika Hall, Dar es Salaam
Mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja
Bei: 18,000/- tu
WhatsApp...
Habari wakuu,
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii, tumeamua kukuletea Computer kwa bei...
Pata; 1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo
2.Simple za kike zinapatikana
3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na kuwa nyeusi fresh yani.
4.Kwa Wale Mnaohitaji...
Toyota model:Harrier old model
Fuel type: Petrol
Gear: Automatic
Mileage:180km/hr
year:1999
Cc :2160
4cylinder
Price/bei 15.5m
Contact/whatsapp kwa taarifa zaidi 0759827138
Hlw wana jf !
Kwa kuanza niwape wote pole na pilika pilika za hapa na pale katika kulijenga taifa letu la Tanzania na lengo likiwa hasa katika kuimarisha uchumi wa taifa letu kiujumla kwa...
Habari zenu WAkuu ninatoa Offer kama kuna watu wanaotaka kusafiri kuja Ulaya kimaisha au kikazi wawasiliane na mimi nitaweza kuwasaidia kupata viza ili mradi walipe gharama za Pesa ukiitaka...
Heshima kwenu wote!
Natafuta mtu anayeuza madawati ya watoto wadogo chini ya miaka 7 kwa ajili ya kusomea sihitaji yale ya kichina. Hata kama kuna fundi mwenye uzoefu wa kutengeneza naomba kujua...
USED HP Deskjet 4515
-Print, scan na copy
-Inaprint black na rangi
-Inaprint two sided
-Ina wireless print access
- 6.73 cm touch screen
-Ipo kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote
-Bei laki...
Inatumika ku skim nnje na ndani ya nyumba ,ina zuia fangasi kwenye nyumba na inatumika kugandishia mikanda,, zuri zaid inatumia maji tuuu badala ya rangi..bei ya jumla 17,500 tuu 0717 126 175..
Hello jf!!
Wapenzi mume wangu anataka kuninunulia gari, sasa kasema iwe kati ya 3m to 4m hivi[emoji16][emoji16] nitapata kweli nzuri?? Isiwe na matatizo matatizo jamani Na kwenye mafuta isiwe...